Spika Tulia amburuza Luhaga Mpina Kamati ya Maadili

Uko sahihi mkuu! Mpina ajilaumu mwenyewe na papara zake! Alikuwa amewashika vizuri, sasa kupelekwa kule kwenye kamati ndiyo amejimaliza kabisa hatoboi! Pamoja na raia wengi kusema anefanya vizuri maana tusingejua, sasa swali la kujiuliza, ndiyo tumejua alichoandika tunakifanyia kazi gani? Tuna msaada wowote tunaweza kumpa Mpina? Hii hadithi ndiyo imeishia hapo!
 
 
Bunge ni chombo cha kutunga Sheria, lakini na lenyewe linatii Sheria?
 
Tukisema anatumika kuzima hoja nzito na ya maslahi kwa nchi ataweza kupinga?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Rango ana kibri kwa kuwa ni bufa linalopiga dunia nzima, woiiiiih
 
Wahuni wanatapanya fedha za umma kupitia sukari n.k. wengine wameuza bandari madini na bahari pamoja na mapori eti kusema haya wapo watu wanaakili mgando kueleza umma eti NI kuhatarisha USALAAMA wa nchi.
Watu wanaosema hayo NI wale wanaonufaika na mfumo na nahawataki wasemwe
Tanzania kikundi kinachotafuna nchi kimeshaota mizizi na hakigusiki ukigusa Tu unashambuliwa Kila Kona

Nitawatajia mambo machache kuionesha hayo
  • ushahidi aliotoa mpina vyombo vingi vya habari vipo kimya
  • alipoitwa kwenye kamati Yule anayeitwa kitenge cha kuvaa akaandika habari hizo
Binafsi Mimi naishukru jamii forum inatusaidia kufikisha ujumbe kwenye jamii
Hao aanaoitwa waandishi kwa sasa wanefichwa mfukoni kwenye serikali hii wanebaki kusengenya marehemu ambaye alishaondoka miaka mitatu iliyopita.
 
Hii nchi inabidi ipigwe na ghariaka kama la NUHU, tufe wote, Taifa lianze upya.
 
Hii nchi inabidi ipigwe na ghariaka kama la NUHU, tufe wote, Taifa lianze upya.
Siungi Mkono hoja hii.
===
Napendekeza wanaokiuka sheria za nchi washughulikiwe kwa mujibu wa sheria zetu bila kuonekana haya!
 
Siungi Mkono hoja hii.
===
Napendekeza wanaokiuka sheria za nchi washughulikiwe kwa mujibu wa sheria zetu bila kuonekana haya!
Hakuna wa kumshughulikia mwenzie. Kwa sasa Taifa lina makundi mawili kuna wao na rai.
 
TZ hatuna Bumge bali tuna kikundi cha watu kilichopora uchaguzi na kujipa madaraka.

Mwacheni mpigania haki za wanyonge.
 
HUSSEIN BASHE akiwa Naibu Waziri wa Kilimo mwaka 2020 walitunga sheria kulinda viwanda vya sukari nchini,Nleo amekuwa Waziri kamili bila aibu na sijui kwa kuwadharau wabunge na watanzania kapeleka mabadiliko ya sheria bungeni ili kesho waipitishe kuruhusu kampuni za stationery, vikampuni vya uchochoroni, vikampuni vya simu za Aitel kwa Mgongo wa Mlezi wake wa Gesi kupewa vibali vya kuagiza sukari, Wabunge wetu hii sheria muitazame kwa makini msikilizeni Mhe Mkenda akiwa Waziri wa Kilimo
 

Attachments

  • VID-20240624-WA0010.mp4
    19.7 MB
Billion 500 ni nyingi Jamaa kaamua kujiuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…