Spika Tulia ameshindwa kujibu maswali badala yake kaongea vitu ambavyo hajaulizwa kwa kupanic na mhemko


Yes!
Yaani mtu anaanza kujikataa yeye mwenyewe ndani yake kisaikolojia.
Ukijitambua huhutaji approval toka kwa mtu yeyote na utakuwa Huna hizo emotional outburst za kushangaza watu hivyo.
Everything begin within you.
Self love, self care, self approval etc
 
Hii sentensi hata kwangu niliiona kama haikuhitajika kwenye majibu yake, ila kwingine majibu yaliwafaa tu...
Kwanza humu jukwaani nani aliwahi kumuona mkoloni
Kha, mambo mengine bwana
 
Dunia sasa imeelewa matatizo tunayokumbana nayo ya uongozi wa juu, kuweka Ke.
Marekani isifanye kosa kuimpa nchi Ke.
 
IPU sio kama lile Bunge letu la Dodoma. Huko lazima anyukwe maswali na ajiandae kikao cha pili maana wamekwisha mjua ni mtu wa emotions na lazima wamchokoze huko mbeleni


Ni kweli 😆😆
Kule Watu wana akili kubwa sana na sio kina Msukuma na yule mgogo wenye kujua kusoma na kiandika kama sifa ya kuwa ubunge Tanzania
Vilaza.
Halafu wasomi wengine wabongo ni wanafiki na machawa.
Mfumo wetu wa elimu unahitajika maboresho makubwa sana.
Msomi hajui kuibua hoja , hajui kujenga hoja, hajui kupangua hoja kwa hoja ni huzuni kwa kweli.
Akiulizwa maswali anawaka na kutishia watu.
Hata kwenye ofisi za umma ni hivyo hivyo.
Wakuu wa vitengo na idara ni wadhaifu, hawataki kuulizwa maswali, ukiwamuuliza maswali wanakuchukia, wanakuundia zengwe.
Wanakuona ni threat.

wasomi wengi wamefuzu masomo kwa kudesa vyuoni ndio maana Hawana ile mindset transformation.
Ni Watu wa hewala hewala tu.

Ndio maana tija na ufanisi wa kazi kwenye taasisi za umma sio wa kuridhisha.
Kwanza upatikanaji wa Viongozi ni shida kubwa .
 
Nionyeshe kejeli Kwa spika hapa
 
Asante sana Bagamoyo nimepata ujumbe wote kwa ujumla wake.
 
Who mandated you to vist Russia? Hili swali limeulizwa na Mbunge kutoka Lithuania.

Angetakiwa kujibu tu kama alivyojibu Mwakilishi kutoka Iraq and it was enough.

Swala la kusema sijui wame mcrucify inaonesha ana dhana mbaya dhidi ya wauliza maswali.
 
Hivi hakuita Ma Askari wa Wabunge la IPU kuja kumtoa huyo Mbunge wa Lithuania alilomuuliza lile swali ?
Je atakuwa na mamlaka ya kumhukumu na kumfungia asishiriki tena vikao vya IPU ? 🤣🤣🤣
 
Amezoea huku kwetu na alidhani hata huko kwingine ni hivyo pia, siyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…