Chambusiso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 2,592
- 4,640
Sijakuelewa
Main point ya maelezo haya ni nini hasa😅😅? Et bwana Maseke
Tulia ni public figure na hamna mwenye wivu wala mchawi ila tunaongelea uwakilishi wake baaaasi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakuelewa
Main point ya maelezo haya ni nini hasa😅😅? Et bwana Maseke
Yeah! Ndivyo walivyo.Ndiyo shida ya kuwa na viongozi wa jinsia ke. Unapohoji au kutaka maelezo ye anafikiri wanamdharau. Why?
Waliomchagua ndio wajinga sana.
Mkuu mambo ya kudhani anatoka nchi maskini, colonized yametoka wapi? Kwanini anatembea na mentalitu hii?
Watu wengi sana wanaenda Ulaya kufanya kazi na shughuli zingine hatimaye huwa hawafikii malengo kwa sababu kama hizi za Dr Tulia.
Akiona wazungu wamekusanyika wanakula ana hisi wanamtenga kwa sababunyeye ni Mwafrika wakati hawakumzuia. Vitu vidogo kama kula tu vinamtoa kwenye reli.
Kwanza humu jukwaani nani aliwahi kumuona mkoloniHii sentensi hata kwangu niliiona kama haikuhitajika kwenye majibu yake, ila kwingine majibu yaliwafaa tu...
IPU sio kama lile Bunge letu la Dodoma. Huko lazima anyukwe maswali na ajiandae kikao cha pili maana wamekwisha mjua ni mtu wa emotions na lazima wamchokoze huko mbeleni
Anavyo vigezo vya kuzuia mijadala ya aina hiyo, anafanya kazi kwa kanuni na miongozo.Kwamba sisi hatuoni humo ndani unaona pekee ako? watu wanatekwa anazuia kujadili, kimsingi ni mtu wa hovyo sn hafai
Nionyeshe kejeli Kwa spika hapaMleta uzi uko kwenye siku zako? Ungekuwa unajua kiingereza vizuri ungeelewa jinsi muuliza swali alivyouliza swali katika namna ya kukera mno. Eti ulijisikiaje kwenda kushikana mkono na gaidi la vita Putin? Ni swali la kukera sana. Angeulizwa Mbowe angejibu "Bro sumu haionjwi"...
Aliulizwa maswali mawili na yote aliyajibu, alihamaki lakini alijibu vizuri.Hakujibu swali aliloulizwa period!
Siku ilivyokuwa kuanzia dakika ya mwanzo Rais akiwakaribisha wabunge wa kikao cha 149 mwaka 2024
Mkutano wa 149 wa IPU uliofanyika Geneva, Uswisi, tarehe 13-17 Oktoba 2024.
Bunge linaanza kwa Rais Dr. Tulia Ackson akifungua kikao na kusema dunia nzima inatutizama na inatutegemea kuhusu amani dunia na jumuiko letu leo linaneba jukumu zito kuja na azimio kuhusu amani :
View: https://m.youtube.com/watch?v=T5jXc99xYI8
Maswali na majibu : Mashirika yote ya kisheria ya IPU, (Governing Council) Baraza la Uongozi, Kamati za Kudumu, Kamati za Haki za Kibinadamu za Wabunge na Maswali ya Mashariki ya Kati hoja za wabunge kutoka UAE, Kuwait, Ukraine, Russia, Turkey kususia mjumbe wa Israel ....majibu ya Rais Dr. Tulia Ackson... kuhusu mambo mbalimbali yaliyoibuliwa na wabunge n.k n.k
Tupe mfano wa namna alivyotakiwa kujibu.Wengi wanaomsifia ni kuwa hawana uelewa wao ni kama mashabiki wa Simba na Yangu they are not analytical.
Who mandated you to vist Russia? Hili swali limeulizwa na Mbunge kutoka Lithuania.Mleta uzi uko kwenye siku zako? Ungekuwa unajua kiingereza vizuri ungeelewa jinsi muuliza swali alivyouliza swali katika namna ya kukera mno. Eti ulijisikiaje kwenda kushikana mkono na gaidi la vita Putin? Ni swali la kukera sana. Angeulizwa Mbowe angejibu "Bro sumu haionjwi"...
Hivi hakuita Ma Askari wa Wabunge la IPU kuja kumtoa huyo Mbunge wa Lithuania alilomuuliza lile swali ?Ukiacha ushabiki na mihemko ya uchawa ukweli ni kuwa spika ameshindwa kujibu moja kwa moja maswali aliyoulizwa badala yake aka[anoc na kuhemka na kuanza kunibu maswali kwa maswali badala ya majibu.
Hakukuwa na haja ya kuunda dhana zisizo kuwepo kwamba wanaomuuliza kwamba labda wanamdharau au kunafikra za kikoloni au wanadhani kwakuwa anatoka nchi ya chini kabisa hivuo hawezi kuongoza nk.
Spika kajibu na kuongea vitu vingi visivyokuwa na maana kuonesha kuwa anauwezo na kwamba waulizaji wanamdharau.
Yeye alitakiwa kutoa ufafanuzi wa moja kwa moja kukingana na swali na siyo kuanza kulalama na kufoka. Kwa sisi linguists na sychologists tathmini yetu ni kuwa spika alikasirika bila kukasirishwa akidhani wanamdharau.
Spika tayari alikuwa na inferiority complex akataka kuwaonesha kuwa yeye ni strong wakati waulizaji hawakutaka na hawakuwa na mawazo havyo. Spika ajitahidi kuwa mtulivu na kuto kujibu kwa makelele kulalamika na kufoka lile siyo bunge la CCM kama alivyozoea kuwafurusha akina Mpina.
Wengi wanaomsifia ni kuwa hawana uelewa wao ni kama mashabiki wa Simba na Yangu they are not analytical.
Pia soma
- Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin
It was just a simple question.Africa kila kitu tunaonaga tunaonewa Tulia amepaniki kabisa kama katukanwa
Amezoea huku kwetu na alidhani hata huko kwingine ni hivyo pia, siyo?Ukiacha ushabiki na mihemko ya uchawa ukweli ni kuwa spika ameshindwa kujibu moja kwa moja maswali aliyoulizwa badala yake aka[anoc na kuhemka na kuanza kunibu maswali kwa maswali badala ya majibu.