Spika Tulia ameshindwa kujibu maswali badala yake kaongea vitu ambavyo hajaulizwa kwa kupanic na mhemko

Alidhani wale ni wabunge wakupita bila kupingwa?
 
Hakukuwa na haja ya kuunda dhana zisizo kuwepo kwamba wanaomuuliza kwamba labda wanamdharau au kunafikra za kikoloni au wanadhani kwakuwa anatoka nchi ya chini kabisa hivuo hawezi kuongoza nk.

Nilitaka kuliandikia uzi hili, lakini imekuwa vyrma kuona nawe umekuwa na fikra kama nilizokuwa nazo...

Nimekuwa nikisikia watu wakimsifia ndugu yangu Tulia, lakini kwa kweli hata yeye akitulia na akajisikiza atagundua hakutuliza akili kuweza kuwakabili wale waliomsukumia maswali ambayo majibu yake yalihitaji facts tu na si vinginevyo...
 
muuliza swali mwenye mihemko sana wa Ukraine ndie pekee alikua kakasirishwa na Dr Tulia kuitembelea Rusia vinginevyo ni upotoshaji 🐒
 
Me nilitaka kusema ivo ivo kwa ule unyama aliyofanya dikteta putin kule Ukrain
yule muuliza swali aliuliza vzr na swali sahih kbs ila nashangaa tulia alipanic na kutokujib swali aliloulizwa
 
Basi atapata tabu sana.


Hata mimi nimefikiria hivyo.
Wazungu wengi - Genius na mtu yeyote mwenye akili kubwa kuhoji mambo ni sehemu ya maisha yake, sasa unapofanya nae kazi au kwenye mazingira yake ujipange kukabiliana na maswali magumu na ujue kujibu kwa usahihi badała ya kufokafoka haisaidii.
 
Akiongea kwa upole mtasema hajiamini na anatetemeka ila akifoka mnasema inferiority.

Hapana,
Kama una hoja ukiongea kwa utulivu ( Calm mind) tena ndio utajiwekea heshima kubwa sana.
Mojawapo ya maturity na kuwa great person ni pamoja na kuwa emotional stability wakati wote.
Emotional instability is a weakness before understanding people.
 
Kwani ni uwongo kwa ule ushenzi anaofanya Putin kule Ukrain anakosaje kuwa gaidi?
 
ALIPASWA KUJIBU AKIWA CALM

KAFELI BIG TIME
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…