Spika Tulia ameshindwa kujibu maswali badala yake kaongea vitu ambavyo hajaulizwa kwa kupanic na mhemko

Sasa kama huelewi kilichoongelewa tutakusaidieje?
Jaribu refresher english course kwa Ras Simba Mwenge.
 
Kwanza Kiinglishi hukijui. Umejuaje hakujibu?.
Chadema watu wa ajabu sana
 
Ana ombwe la uchawa na chama.
 

Hahaha sasa wewe umejibu? OK kama ndio hayo majibu why hakuyasema akaongelea ukoloni, ubabe, kufoka, na mabarua? Kwani angesema majibu ya faida au hasara atasema kwenye vikao vijavyo nani angemshinikiza kuongea?
 
Sie tunamsifia anajua kingereza mengine hatujui
 
Hahaha sasa wewe umejibu? OK kama ndio hayo majibu why hakuyasema akaongelea ukoloni, ubabe, kufoka, na mabarua?
hakuna kufoka pale gentleman, aliefoka ni yule mbunge wa Ukraine mwenye ghadhab sana na ziara ya Dr Tulia Akson cremlin kwa Mzee Putin...

Dr.Tulia Akson alijibu kwa welidi na ufasaha wa kiwango cha juu sana huku akitumia tone, facial expressions na body language ya kimamlaka, kwamba she is the President of IPU with authority of intervening any part of the world and settle disputes between confronting parts...

Ni lazima watu waelezwe ukweli tu bila kujali ni alina nani gentleman πŸ’
 
Kwakweli acha apumzike ila marupurupu yaingie tu

Sahihi kabisa, tuconclude tu alikuwa busy na perdiem kama wabongo wengine mengine ya meritocracy tuwaachie wazungu sisi tupambane kwa sifa na mapambio maisha yaende, after akipata spika wetu analeta nyumbani na tunapata makombo kidogo!
 

I rest my case, thank you! πŸ˜›
 
Sie tunamsifia anajua kingereza mengine hatujui
Hayo ndiyo matokeo ya kusoma shule za english medium, angesoma kayumba angechemuka jamani somesheni watoto wenu english medium school watafanya vizuri kimataifa na kitaifa pia
 
 
Thank you too,
Be blessed and Rest In Peace 🀣

RIP tena? Kiongozi nakutambua sana ufahamu wako na najua unachallenge tu hapa ila I am sure hata wewe unaona aibu ila ufanyeje tu wakati kada! Anyway tupo pamoja kwa mijadala wengine hatuna cha kupoteza so we speak our minds bila kujali ni nani kabofoa, kwenye ukweli tunasema baya linatamkwa na zuri linatamkwa! Huyu mama angeendelea kuwa mwalimu pale chuo ningekuwa na mashaka sana ya kumwachia mwanangu amfunze lkn bahati nzuri sana wangu hawatapitia jalalani kusoma kamwe labda kutoa tu muhadhara! πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜›πŸ˜›
 
Paragraph zote unazungumzia jambo lilelile unazungukazunguka.

Speaker alijibu ilivyotakiwa.
 
I think spika tulia was very clear on her messwge

Haya mataasisi ya kimataifa yana figisu sana na ukiona hadi ameongea vile ujue she is adequately aware of her situation na the relationship with the group of 12

Ushauri wangu…. Hata pingapinga kila kitu ni uchawa tu sema unakua uchawa kwa opposition
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…