Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ndiyo dalali mku wa mali za TanganyikaAlafu haogopi anatokeza mbele ya camera, nchi inachezewa hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo dalali mku wa mali za TanganyikaAlafu haogopi anatokeza mbele ya camera, nchi inachezewa hii
Sasa kama huelewi kilichoongelewa tutakusaidieje?Madam president wa mabunge ya Dunia alipanik na kujibu hoja kwa kuonesha kabisa yeye ni wa kike. alitakiwa kufafanua tu kwamba mwaliko ulitumwa ukraine na Rusia. hata hivyo Ukraine ratiba yao haikuendana na ratiba ya madam Rais wa Mabunge ya dunia. Hivyo, atapanga tena safari nyingine kwa kufanya lojistikoi za pamoja za ratiba na mamlaka za Kiev. KUKTA.
sasa yeye alianza kujibu hoja huku kile ki nani hii huku chini kakiamsha.
Kwanza Kiinglishi hukijui. Umejuaje hakujibu?.Ukiacha ushabiki na mihemko ya uchawa ukweli ni kuwa spika ameshindwa kujibu moja kwa moja maswali aliyoulizwa badala yake aka[anoc na kuhemka na kuanza kunibu maswali kwa maswali badala ya majibu.
Hakukuwa na haja ya kuunda dhana zisizo kuwepo kwamba wanaomuuliza kwamba labda wanamdharau au kunafikra za kikoloni au wanadhani kwakuwa anatoka nchi ya chini kabisa hivuo hawezi kuongoza nk.
Spika kajibu na kuongea vitu vingi visivyokuwa na maana kuonesha kuwa anauwezo na kwamba waulizaji wanamdharau.
Yeye alitakiwa kutoa ufafanuzi wa moja kwa moja kukingana na swali na siyo kuanza kulalama na kufoka. Kwa sisi linguists na sychologists tathmini yetu ni kuwa spika alikasirika bila kukasirishwa akidhani wanamdharau.
Spika tayari alikuwa na inferiority complex akataka kuwaonesha kuwa yeye ni strong wakati waulizaji hawakutaka na hawakuwa na mawazo havyo. Spika ajitahidi kuwa mtulivu na kuto kujibu kwa makelele kulalamika na kufoka lile siyo bunge la CCM kama alivyozoea kuwafurusha akina Mpina.
Wengi wanaomsifia ni kuwa hawana uelewa wao ni kama mashabiki wa Simba na Yangu they are not analytical.
Pia soma
- Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin
Ana ombwe la uchawa na chama.Ukiacha ushabiki na mihemko ya uchawa ukweli ni kuwa spika ameshindwa kujibu moja kwa moja maswali aliyoulizwa badala yake aka[anoc na kuhemka na kuanza kunibu maswali kwa maswali badala ya majibu.
Hakukuwa na haja ya kuunda dhana zisizo kuwepo kwamba wanaomuuliza kwamba labda wanamdharau au kunafikra za kikoloni au wanadhani kwakuwa anatoka nchi ya chini kabisa hivuo hawezi kuongoza nk.
Spika kajibu na kuongea vitu vingi visivyokuwa na maana kuonesha kuwa anauwezo na kwamba waulizaji wanamdharau.
Yeye alitakiwa kutoa ufafanuzi wa moja kwa moja kukingana na swali na siyo kuanza kulalama na kufoka. Kwa sisi linguists na sychologists tathmini yetu ni kuwa spika alikasirika bila kukasirishwa akidhani wanamdharau.
Spika tayari alikuwa na inferiority complex akataka kuwaonesha kuwa yeye ni strong wakati waulizaji hawakutaka na hawakuwa na mawazo havyo. Spika ajitahidi kuwa mtulivu na kuto kujibu kwa makelele kulalamika na kufoka lile siyo bunge la CCM kama alivyozoea kuwafurusha akina Mpina.
Wengi wanaomsifia ni kuwa hawana uelewa wao ni kama mashabiki wa Simba na Yangu they are not analytical.
Pia soma
- Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin
ukija na majibu yako mfukoni utapata tabu sana gentleman 🤣
Gentleman,
It is very simple.
Ziara ilikua ni ya siku moja tu.
Ilikua ianzie Ukraine na kisha iishie Russia..
Rais Zelensky akadai anakwenda marekani hatakuepo Ukraine kwenye tarehe husika.
Na kutokana na ratiba ngumu na majukumu mengi mazito ya dunia nzima aliyonayo Rais wa IPU Dr Tulia Akson, akaona ni vema aendelee na ratiba ya ziara yake Moscow kwa Mzee Putin. Huko kwa Zelensky kutapangiwa siku nyingine..
Shida iko wap gentleman?
Faida inapatikanaje na Zelensky hatulii nyumbani gentleman?🤣
faida Ni mpaka aitembelee Ukraine pia kujua nini shida alinganishe na zile shida Russian ako nazo, ndipo aje na mapendekezo ya kutafuta Suluhu ya kudumu na kumaliza vita hiyo ya hovyo kabisaa ya wababe hawa wa magharibi...
alifanya hivyo alivyoenda mashariki ya kati na kwingineko duniania.
hivyo ndivyo diplomasia hufanya kazi. Huwezi kutafuta Suluhu ya mgogoro kwa kuskiza upande moja. Tusubiri atakapoitembelea Ukraine ndio unawaza kuuliza faida 🐒
Mkuu ambaye hukumwelewa ni wewe mwenye upeo mdogo, wazungu walimwelewa na wakaufyata.
Ameonesha dunia kuwa kiasi gani ni mjinga, msomi hawezi kuzungumza upuuzi kama huu alizungumza
View: https://www.facebook.com/JamiiForums/videos/1650206085542956/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
Sie tunamsifia anajua kingereza mengine hatujuiUkiacha ushabiki na mihemko ya uchawa ukweli ni kuwa spika ameshindwa kujibu moja kwa moja maswali aliyoulizwa badala yake aka[anoc na kuhemka na kuanza kunibu maswali kwa maswali badala ya majibu.
Hakukuwa na haja ya kuunda dhana zisizo kuwepo kwamba wanaomuuliza kwamba labda wanamdharau au kunafikra za kikoloni au wanadhani kwakuwa anatoka nchi ya chini kabisa hivuo hawezi kuongoza nk.
Spika kajibu na kuongea vitu vingi visivyokuwa na maana kuonesha kuwa anauwezo na kwamba waulizaji wanamdharau.
Yeye alitakiwa kutoa ufafanuzi wa moja kwa moja kukingana na swali na siyo kuanza kulalama na kufoka. Kwa sisi linguists na sychologists tathmini yetu ni kuwa spika alikasirika bila kukasirishwa akidhani wanamdharau.
Spika tayari alikuwa na inferiority complex akataka kuwaonesha kuwa yeye ni strong wakati waulizaji hawakutaka na hawakuwa na mawazo havyo. Spika ajitahidi kuwa mtulivu na kuto kujibu kwa makelele kulalamika na kufoka lile siyo bunge la CCM kama alivyozoea kuwafurusha akina Mpina.
Wengi wanaomsifia ni kuwa hawana uelewa wao ni kama mashabiki wa Simba na Yangu they are not analytical.
Pia soma
- Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin
Kwakweli acha apumzike ila marupurupu yaingie tuWalimpumzisha tu asijepasuka na jazba!
hakuna kufoka pale gentleman, aliefoka ni yule mbunge wa Ukraine mwenye ghadhab sana na ziara ya Dr Tulia Akson cremlin kwa Mzee Putin...Hahaha sasa wewe umejibu? OK kama ndio hayo majibu why hakuyasema akaongelea ukoloni, ubabe, kufoka, na mabarua?
Kwakweli acha apumzike ila marupurupu yaingie tu
hakuna kufoka pale gentleman, aliefoka ni yule mbunge wa Ukraine mwenye ghadhab sana na ziara ya Dr Tulia Akson cremlin kwa Mzee Putin...
Dr.Tulia Akson alijibu kwa welidi na ufasaha wa kiwango cha juu sana huku akitumia tone, facial expressions na body language ya kimamlaka, kwamba she is the President of IPU with authority of intervening any part of the world and settle disputes between confronting parts...
Ni lazima watu waelezwe ukweli tu bila kujali ni alina nani gentleman 🐒
Hayo ndiyo matokeo ya kusoma shule za english medium, angesoma kayumba angechemuka jamani somesheni watoto wenu english medium school watafanya vizuri kimataifa na kitaifa piaSie tunamsifia anajua kingereza mengine hatujui
Ukiacha ushabiki na mihemko ya uchawa ukweli ni kuwa spika ameshindwa kujibu moja kwa moja maswali aliyoulizwa badala yake aka[anoc na kuhemka na kuanza kunibu maswali kwa maswali badala ya majibu.
Hakukuwa na haja ya kuunda dhana zisizo kuwepo kwamba wanaomuuliza kwamba labda wanamdharau au kunafikra za kikoloni au wanadhani kwakuwa anatoka nchi ya chini kabisa hivuo hawezi kuongoza nk.
Spika kajibu na kuongea vitu vingi visivyokuwa na maana kuonesha kuwa anauwezo na kwamba waulizaji wanamdharau.
Yeye alitakiwa kutoa ufafanuzi wa moja kwa moja kukingana na swali na siyo kuanza kulalama na kufoka. Kwa sisi linguists na sychologists tathmini yetu ni kuwa spika alikasirika bila kukasirishwa akidhani wanamdharau.
Spika tayari alikuwa na inferiority complex akataka kuwaonesha kuwa yeye ni strong wakati waulizaji hawakutaka na hawakuwa na mawazo havyo. Spika ajitahidi kuwa mtulivu na kuto kujibu kwa makelele kulalamika na kufoka lile siyo bunge la CCM kama alivyozoea kuwafurusha akina Mpina.
Wengi wanaomsifia ni kuwa hawana uelewa wao ni kama mashabiki wa Simba na Yangu they are not analytical.
Pia soma
- Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putikwan kafanyaje
Thank you too,I rest my case, thank you! 😛
Thank you too,
Be blessed and Rest In Peace 🤣
Paragraph zote unazungumzia jambo lilelile unazungukazunguka.Ukiacha ushabiki na mihemko ya uchawa ukweli ni kuwa spika ameshindwa kujibu moja kwa moja maswali aliyoulizwa badala yake aka[anoc na kuhemka na kuanza kunibu maswali kwa maswali badala ya majibu.
Hakukuwa na haja ya kuunda dhana zisizo kuwepo kwamba wanaomuuliza kwamba labda wanamdharau au kunafikra za kikoloni au wanadhani kwakuwa anatoka nchi ya chini kabisa hivuo hawezi kuongoza nk.
Spika kajibu na kuongea vitu vingi visivyokuwa na maana kuonesha kuwa anauwezo na kwamba waulizaji wanamdharau.
Yeye alitakiwa kutoa ufafanuzi wa moja kwa moja kukingana na swali na siyo kuanza kulalama na kufoka. Kwa sisi linguists na sychologists tathmini yetu ni kuwa spika alikasirika bila kukasirishwa akidhani wanamdharau.
Spika tayari alikuwa na inferiority complex akataka kuwaonesha kuwa yeye ni strong wakati waulizaji hawakutaka na hawakuwa na mawazo havyo. Spika ajitahidi kuwa mtulivu na kuto kujibu kwa makelele kulalamika na kufoka lile siyo bunge la CCM kama alivyozoea kuwafurusha akina Mpina.
Wengi wanaomsifia ni kuwa hawana uelewa wao ni kama mashabiki wa Simba na Yangu they are not analytical.
Pia soma
- Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin
I think spika tulia was very clear on her messwgeUkiacha ushabiki na mihemko ya uchawa ukweli ni kuwa spika ameshindwa kujibu moja kwa moja maswali aliyoulizwa badala yake aka[anoc na kuhemka na kuanza kunibu maswali kwa maswali badala ya majibu.