Soon atakuwa Naibu Rais wa nchi Jirani,walimchomoaI think spika tulia was very clear on her messwge
Haya mataasisi ya kimataifa yana figisu sana na ukiona hadi ameongea vile ujue she is adequately aware of her situation na the relationship with the group of 12
Ushauri wanguβ¦. Hata pingapinga kila kitu ni uchawa tu sema unakua uchawa kwa opposition
Tena sana, hii sio namna nzuri ya kuzungumzaKwani hao waliomchagua hawana dual deligence kujua huku Tz tuna aina gani ya spika, nahisi wameshangaa sana.
Nikikuambia tukutane Magholofani hutaki. Sio lile la uyole ya kati lakini.Tatizo ni kupanic lakini ameweza kujielezea...sema kahasira ka kinyakyusa kanatuponza...tunahemka haraka sana
Ndio wapoWachina, Warusi, Cuba, Waarabu, Korea Kaskazini, Venezuela, Iran na Waafrika nao wako huko IPU??
Infact unaweza mtizama kama shujaa Kwa namna alivyoshambulia Kwa jazba.Uchambuzi murua tumefikiri kwenye angle moja.
Seriously Kuna mambo kaongea yanaleta kinyaa eti mniheshimu.. kwani nani pale IPU hamfanyii dignity treatment??spika alikasirika bila kukasirishwa akidhani wanamdharau. Spika tayari alikuwa na inferiority complex akataka kuwaonesha kuwa yeye ni strong wakati waulizaji hawakutaka na hawakuwa na mawazo havyo.Wewe umejuaje kuwa hawakuwa wanamdharau?pia umejuaje kuwa hawakutaka na hawakuwa na mawazo hayo? kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa unavyoona wewe ni sawa na alivyoona spika haikuwa sawa...?
With other dignity , the same dignity , kweli Tulia kichwani mweupe ,
Leo ndo nmejua watu wachawiπ π
Sasa hata kama kaongea kwa hasira au wamtoe wampe kiti mtu mwingine.. wewe huku Tz unaumia nini? π π hivi ni kwamba hatuna kabisa mambo mengine ya msingi yakuzingatia mpaka tunaombeana balaa waziwazi?
Kama unaona ana hasira peleka maombi wewe mwenye mawazo mapana ukawe Rais kwa niaba yakeπ€£π€£
Ujinga hautoisha hii nchi
Unawajua wazungu wewe?Lakini ameshangiliwa sana sana! Yale makofi ni ishara wale wazungu wamekunwa vilivyo na majibu yake.
We umejuaje wanafikiria hivyo unavyofikiria wewe?Ndio ni mnyonge ndio maana akazidi kujifafanua kuwa yeye ni Mwafrika anatoka nchi maskini za chini na hadhani kama anauwezo wa kuongoza IPU.
Kifupi Dr Tulia amewapa majibu waliyokuwa wakifikiri kuhusu uwezo wake.
Seriously Kuna mambo kaongea yanaleta kinyaa eti mniheshimu.. kwani nani pale IPU hamfanyii dignity treatment??
Kuna sheria inayozuia viongozi wa IPU kutembelea nchi kama Russia? Mbona hawajaanza na kuwazuia wabunge wawakilishi toka Russia wasihudhurie mikutano ya IPU mpaka watakapoacha kuivamia Ukraine? IPU sio UNMe nilitaka kusema ivo ivo kwa ule unyama aliyofanya dikteta putin kule Ukrain
yule muuliza swali aliuliza vzr na swali sahih kbs ila nashangaa tulia alipanic na kutokujib swali aliloulizwa
Hii sentensi hata kwangu niliiona kama haikuhitajika kwenye majibu yake, ila kwingine majibu yaliwafaa tu...Nimecheka anasema eti msilete mambo yakikoloni sikuelewa ukoloni umeingiaje
SijakuelewaHamna mchawi labda uchawi wake mwenyewe, na hamna mtu anaumia kwa lolote wala kumtakia yoyote balaa, tunaongea kuhusu mwakilishi wa nchi! Na sio ujinga kuhoji km kajibu alichoulizwa au la ujinga ni kusupport ujinga kama huu, ukishakuwa public figure ni lazima uwe scrutized kila hatua unayopita kama unaumia wewe unaweza kwenye kwnye nyuzi za kulana kwa masikhara ukaacha hii debate kwa wenye ufahamu. Sio lazima uchangie kila thread
kwani kukutakia pumziko la amani kuna ubaya wowote gentlemanm? au ni kitu kibaya?RIP tena? Kiongozi nakutambua sana ufahamu wako na najua unachallenge tu hapa ila I am sure hata wewe unaona aibu ila ufanyeje tu wakati kada! Anyway tupo pamoja kwa mijadala wengine hatuna cha kupoteza so we speak our minds bila kujali ni nani kabofoa, kwenye ukweli tunasema baya linatamkwa na zuri linatamkwa! Huyu mama angeendelea kuwa mwalimu pale chuo ningekuwa na mashaka sana ya kumwachia mwanangu amfunze lkn bahati nzuri sana wangu hawatapitia jalalani kusoma kamwe labda kutoa tu muhadhara! π π ππ