Spika Tulia ameshindwa kujibu maswali badala yake kaongea vitu ambavyo hajaulizwa kwa kupanic na mhemko

Spika Tulia ameshindwa kujibu maswali badala yake kaongea vitu ambavyo hajaulizwa kwa kupanic na mhemko

I think spika tulia was very clear on her messwge

Haya mataasisi ya kimataifa yana figisu sana na ukiona hadi ameongea vile ujue she is adequately aware of her situation na the relationship with the group of 12

Ushauri wangu…. Hata pingapinga kila kitu ni uchawa tu sema unakua uchawa kwa opposition
Soon atakuwa Naibu Rais wa nchi Jirani,walimchomoa
 
Leo ndo nmejua watu wachawi😅😅
Sasa hata kama kaongea kwa hasira au wamtoe wampe kiti mtu mwingine.. wewe huku Tz unaumia nini? 😅😅 hivi ni kwamba hatuna kabisa mambo mengine ya msingi yakuzingatia mpaka tunaombeana balaa waziwazi?
Kama unaona ana hasira peleka maombi wewe mwenye mawazo mapana ukawe Rais kwa niaba yake🤣🤣
Ujinga hautoisha hii nchi
 
Tatizo ni kupanic lakini ameweza kujielezea...sema kahasira ka kinyakyusa kanatuponza...tunahemka haraka sana
Nikikuambia tukutane Magholofani hutaki. Sio lile la uyole ya kati lakini.

Kuna majibu yalihitaji tone ile aliyokuwa nayo kwenye baadhi ya maelezo. IPU haijawawekea vikwazo bunge la Russia wala Ukirene. Ila kuna taratibu za kutembelea maeneo yanayopigana. Mojawapo ikiwa ni muhimu kutembelea pande zote mbili.
 
Uchambuzi murua tumefikiri kwenye angle moja.
Infact unaweza mtizama kama shujaa Kwa namna alivyoshambulia Kwa jazba.
Ila mimi,
Nimeona haya kuwa ule uendeshaji wa bunge kibabe Kwa kutiisha watoa mada anataka kuuendeleza huko.
Nimeona aibu sana Kwa kuendekeza 'opinion' mfano hayo maneno ya 'colonized'
Nimeona aibu mimi namna Dunia inavyotutazama wa Africa tabia tulizonazo Kwa kushika madaraka makubwa.
Nimeona aibu
 
Aisee🤣🤣 watu mna negativity sijawahi ona!
Et wazungu wanajua kuanzisha hoja ni ma- genius humpima mtu kwa uwezo wa kufikiri🤣🤣 yani mmekua wasemaji wao!
Mara kingereza cha tukuyu mara inferiority🤣🤣🤣
Aisee !!! Kwa akili hizi wasiojulikana hawatoisha
 
spika alikasirika bila kukasirishwa akidhani wanamdharau. Spika tayari alikuwa na inferiority complex akataka kuwaonesha kuwa yeye ni strong wakati waulizaji hawakutaka na hawakuwa na mawazo havyo.Wewe umejuaje kuwa hawakuwa wanamdharau?pia umejuaje kuwa hawakutaka na hawakuwa na mawazo hayo? kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa unavyoona wewe ni sawa na alivyoona spika haikuwa sawa...?
Seriously Kuna mambo kaongea yanaleta kinyaa eti mniheshimu.. kwani nani pale IPU hamfanyii dignity treatment??
 
With other dignity , the same dignity , kweli Tulia kichwani mweupe ,

Eti alisoma KLF sijui ?!

Kuna jamaa walisoma nae jamaa yeye akiwa combination nyingine akasema hiyo combination walikuwa wakiwaita Kula, Lala na Faulu 🤣🤣🤣
 
Leo ndo nmejua watu wachawi😅😅
Sasa hata kama kaongea kwa hasira au wamtoe wampe kiti mtu mwingine.. wewe huku Tz unaumia nini? 😅😅 hivi ni kwamba hatuna kabisa mambo mengine ya msingi yakuzingatia mpaka tunaombeana balaa waziwazi?
Kama unaona ana hasira peleka maombi wewe mwenye mawazo mapana ukawe Rais kwa niaba yake🤣🤣
Ujinga hautoisha hii nchi

Hamna mchawi labda uchawi wake mwenyewe, na hamna mtu anaumia kwa lolote wala kumtakia yoyote balaa, tunaongea kuhusu mwakilishi wa nchi! Na sio ujinga kuhoji km kajibu alichoulizwa au la ujinga ni kusupport ujinga kama huu, ukishakuwa public figure ni lazima uwe scrutinized kila hatua unayopita kama unaumia wewe unaweza kwenye kwnye nyuzi za kulana kwa masikhara ukaacha hii debate kwa wenye ufahamu. Sio lazima uchangie kila thread
 
Ndio ni mnyonge ndio maana akazidi kujifafanua kuwa yeye ni Mwafrika anatoka nchi maskini za chini na hadhani kama anauwezo wa kuongoza IPU.

Kifupi Dr Tulia amewapa majibu waliyokuwa wakifikiri kuhusu uwezo wake.
We umejuaje wanafikiria hivyo unavyofikiria wewe?
 
Me nilitaka kusema ivo ivo kwa ule unyama aliyofanya dikteta putin kule Ukrain
yule muuliza swali aliuliza vzr na swali sahih kbs ila nashangaa tulia alipanic na kutokujib swali aliloulizwa
Kuna sheria inayozuia viongozi wa IPU kutembelea nchi kama Russia? Mbona hawajaanza na kuwazuia wabunge wawakilishi toka Russia wasihudhurie mikutano ya IPU mpaka watakapoacha kuivamia Ukraine? IPU sio UN
 
Hamna mchawi labda uchawi wake mwenyewe, na hamna mtu anaumia kwa lolote wala kumtakia yoyote balaa, tunaongea kuhusu mwakilishi wa nchi! Na sio ujinga kuhoji km kajibu alichoulizwa au la ujinga ni kusupport ujinga kama huu, ukishakuwa public figure ni lazima uwe scrutized kila hatua unayopita kama unaumia wewe unaweza kwenye kwnye nyuzi za kulana kwa masikhara ukaacha hii debate kwa wenye ufahamu. Sio lazima uchangie kila thread
Sijakuelewa
Main point ya maelezo haya ni nini hasa😅😅? Et bwana Maseke
 
RIP tena? Kiongozi nakutambua sana ufahamu wako na najua unachallenge tu hapa ila I am sure hata wewe unaona aibu ila ufanyeje tu wakati kada! Anyway tupo pamoja kwa mijadala wengine hatuna cha kupoteza so we speak our minds bila kujali ni nani kabofoa, kwenye ukweli tunasema baya linatamkwa na zuri linatamkwa! Huyu mama angeendelea kuwa mwalimu pale chuo ningekuwa na mashaka sana ya kumwachia mwanangu amfunze lkn bahati nzuri sana wangu hawatapitia jalalani kusoma kamwe labda kutoa tu muhadhara! 😛 😛 😛😛
kwani kukutakia pumziko la amani kuna ubaya wowote gentlemanm? au ni kitu kibaya?

au ni dhana tu imejengeka kama vile alivyowajibu wazungu wenye mihemko Dr.Tulia kwamba wanadhani alikotoka Dr.Tulia bado wako chini ya ukoloni? I was just wishing you a peaceful rest as we are approaching weekend..

For sure IPU imepata kiongozi na ataweka historia ya kipekee sana duniani..

Infact,
Dr.Tulia yupo live muda huu anaendeleza kumwaga madini duniani.

Otherwise tupo pamoja sana gentleman 👊
 
Back
Top Bottom