Spika Tulia ameshindwa kujibu maswali badala yake kaongea vitu ambavyo hajaulizwa kwa kupanic na mhemko

Spika Tulia ameshindwa kujibu maswali badala yake kaongea vitu ambavyo hajaulizwa kwa kupanic na mhemko

si kweli gentleman,
unapotosha. Kajibu maswali ya wabunge wenye mihemko sana kwa ufasaha mno na ameongea kimamlaka na kuwaambia ukweli wabunge kwamba wasifikiri alikotoka bado wako chini ya wakoloni na hahitaji ruhusa kutembelea Ukraine wala Russian kwa mapenzi bali ni utaratibu na wajibu wa bunge hilo kufanya hivyo kote ulimwenguni 🐒
Kama kiongozi hakupaswa kupanini na kuingiaa vitu vya hisia zake alipaswa kujibu polightly angeeleweka tu hakupaswa kufanya reaction kias hicho na kujihisi unyonge
 
Hajajibu swali hata moja aliloulizwa bali alikuwa anafokafoka tu kujustify inferiority complex yake ya sketi, rangi na sehemu anayotoka, wakati wazungu wala hawakutaka hayo maana wanayajua tayari!
Amezoea kusifiwa na akina Kibajaji na Babu Tale, kule ni kwa watu wenye akili timamu, Spika wa hovyo kabisa kuwahi kutokea na mwenye sura mbaya
 
Kama kiongozi hakupaswa kupanini na kuingiaa vitu vya hisia zake alipaswa kujibu polightly angeeleweka tu hakupaswa kufanya reaction kias hicho na kujihisi unyonge
Ameenda na ujinga wake mpk Ulaya akidhani anaenda Dodoma kwenye lile kusanyiko lao la kishetani
 
Pole sana mdau wa CHADEMA.

Hivi vitu ndio viliondoa ufahamu wa watanzania, sasa hivi mtu akiongea ukweli tu lazima upindishwe kwenda kwenye siasa za vyama, meritocracy imekufa kabisa kwa sasa yani hata mtu akibofoa kwa kuwa tu ni wa chama chako lazima usifie, dunia inatazama content na akili sio magwanda ya vyama vya bongo! Haya yatunze upatie chakula kijiko kiite kijiko sio spade
 
Back
Top Bottom