Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Ulitaka wamchague Mbowe?. au Lema anafaa zaidi?.Hivi walimchaguaje huyo kilaza kuwa Rais wao?. Wasirudie Hilo kosa Tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka wamchague Mbowe?. au Lema anafaa zaidi?.Hivi walimchaguaje huyo kilaza kuwa Rais wao?. Wasirudie Hilo kosa Tena.
Nawashangaa wabongo wapo inferior kwenye kila mada.Hahaha ....unajichosha tu mkuu. Bora ukae kimya tu
Kama kiongozi hakupaswa kupanini na kuingiaa vitu vya hisia zake alipaswa kujibu polightly angeeleweka tu hakupaswa kufanya reaction kias hicho na kujihisi unyongesi kweli gentleman,
unapotosha. Kajibu maswali ya wabunge wenye mihemko sana kwa ufasaha mno na ameongea kimamlaka na kuwaambia ukweli wabunge kwamba wasifikiri alikotoka bado wako chini ya wakoloni na hahitaji ruhusa kutembelea Ukraine wala Russian kwa mapenzi bali ni utaratibu na wajibu wa bunge hilo kufanya hivyo kote ulimwenguni 🐒
Dr wa sheria kachaguliwa na bunge la dunia nzima, wivu na utoto unatusumbua baadhi yetu.Alidhani yupo Dodoma kwenye lile kusanyiko lao la kijinga
Hana lolote na hakuna wivu, yule ajuza na sura ake mbaya kama roho ake nani amuonee wivu?Dr wa sheria kachaguliwa na bunge la dunia nzima, wivu na utoto unatusumbua baadhi yetu.
Unayemuita mweupe nina uhakika huwezi kuongea vile mbele ya halaiki ile ya wasomi wa dunia nzima.With other dignity , the same dignity , kweli Tulia kichwani mweupe ,
Amezoea kusifiwa na akina Kibajaji na Babu Tale, kule ni kwa watu wenye akili timamu, Spika wa hovyo kabisa kuwahi kutokea na mwenye sura mbayaHajajibu swali hata moja aliloulizwa bali alikuwa anafokafoka tu kujustify inferiority complex yake ya sketi, rangi na sehemu anayotoka, wakati wazungu wala hawakutaka hayo maana wanayajua tayari!
Pole sana mdau wa CHADEMA.Hana lolote na hakuna wivu, yule ajuza na sura ake mbaya kama roho ake nani amuonee wivu?
Ameenda na ujinga wake mpk Ulaya akidhani anaenda Dodoma kwenye lile kusanyiko lao la kishetaniKama kiongozi hakupaswa kupanini na kuingiaa vitu vya hisia zake alipaswa kujibu polightly angeeleweka tu hakupaswa kufanya reaction kias hicho na kujihisi unyonge
Asante snPole sana mdau wa CHADEMA.
Politely. Hatujui anakutana na mangapi yasiyoonyeshwa kwenye youtube na mitandao mingine.Kama kiongozi hakupaswa kupanini na kuingiaa vitu vya hisia zake alipaswa kujibu polightly angeeleweka tu hakupaswa kufanya reaction kias hicho na kujihisi unyonge
Sura inamhusu yeye binafsi, wewe hatukuoni zaidi ya hiyo avatar ya Muisrael huyo.Amezoea kusifiwa na akina Kibajaji na Babu Tale, kule ni kwa watu wenye akili timamu, Spika wa hovyo kabisa kuwahi kutokea na mwenye sura mbaya
Sura na roho ake ni mbaya snSura inamhusu yeye binafsi, wewe hatukuoni zaidi ya hiyo avatar ya Muisrael huyo.
Mke wa mtu, kwako sura ni mbaya kwake ni Mama watoto.Sura na roho ake ni mbaya sn
Watajuana wenyewe mimi hainihusuMke wa mtu, kwako sura ni mbaya kwake ni Mama watoto.
Punguza mapovu mkuu.Watajuana wenyewe mimi hainihusu
Ameonesha dunia kuwa kiasi gani ni mjinga, msomi hawezi kuzungumza upuuzi kama huu alizungumza
View: https://www.facebook.com/JamiiForums/videos/1650206085542956/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
Pole sana mdau wa CHADEMA.
Mkuu huyo ajuza ameharibu sn bungePunguza mapovu mkuu.