Spika Tulia ameshindwa kujibu maswali badala yake kaongea vitu ambavyo hajaulizwa kwa kupanic na mhemko

Spika Tulia ameshindwa kujibu maswali badala yake kaongea vitu ambavyo hajaulizwa kwa kupanic na mhemko

Politely. Hatujui anakutana na mangapi yasiyoonyeshwa kwenye youtube na mitandao mingine.
We are easy to judge on 5 minute video,we expect someone to be perfect,strong and resilient while we are only humans. Yaani sisi binaadamu ambao sio viongozi turuhusiwe kupanik lakini akipanic kiongozi tunamuona kama robot sio binaadamu.
 
We are easy to judge on 5 minute video,we expect someone to be perfect,strong and resilient while we are only humans. Yaani sisi binaadamu ambao sio viongozi turuhusiwe kupanik lakini akipanic kiongozi tunamuona kama robot sio binaadamu.
Akili zetu zenye kutazama kufeli tu siku zote haziwezi kuturuhusu kumhukumu kiongozi kwa haki.

Ni video ya dakika tano tu ambazo aliyerekodi alitaka tumuone Dr Tulia, yapo mengi sana anayafanya mbali kabisa na rekodi za video na yanaifaa taasisi hiyo ya kimataifa.
 
Spika wetu yuko vizuri sana. Wazungu walitaka kumpiga changa la macho, aliwajibu vizuri. Issue ya inferioty complex ni mawazo yako. Ila viongozi wetu wajiamini km baba wa Taifa.
Anataka kumponda Tulia kwa hotuba ya dakika tano. Anasahau kuwa alipigiwa kura na asilimia kubwa ya watu waliojaa kwenye huo ukumbi, hao wanaompigia makofi ndio wenye kumpa mandate ya kuongoza.

Sasa kwa akili zetu za kibongo, wote hao hawana akili ila sisi humu jukwaani ndio wenye akili nyingi!.
 
Wazungu wakijuq unahizo mentality watakuwa wanakujaza kila wanapokuona ili upoteze mwelekeo.
Kikubwa ni kujibu hoja na kutoa mwelekeo sio kujitetea na kuhisi watu hawakuheshimu.
Nilimuelewa ila kama na wewe nakuelewamo.
Sio wazungu tu, hata wakina Madeleka
 
Anataka kumponda Tulia kwa hotuba ya dakika tano. Anasahau kuwa alipigiwa kura na asilimia kubwa ya watu waliojaa kwenye huo ukumbi, hao wanaompigia makofi ndio wenye kumpa mandate ya kuongoza.

Sasa kwa akili zetu za kibongo, wote hao hawana akili ila sisi humu jukwaani ndio wenye akili nyingi!.
Unalipwa kutetea huo udhaifu mkubwa aliounyesha?
 
Kuwepo hapo ukumbini kwa nafasi ya rais peke yake ni heshima kubwa kwa Tanzania nzima. Punguzeni huo wivu wa kike, aliyepewa kapewa.

Lengo ni zaidi ya hiyo heshima unasemea wewe.
Jibu kwa hoja na sio kujificha kwenye kisingizio cha wivu hayo ni Maneno ya wasio na hoja.
 
Lengo ni zaidi ya hiyo heshima unasemea wewe.
Jibu kwa hoja na sio kujificha kwenye kisingizio cha wivu hayo ni Maneno ya wasio na hoja.
Spika amejitengenezea mazingira ya kuheshimiwa na hao hao wabunge waliomuona dada mweusi wakaanza kuuliza maswali kwa nia ya kumtoa relini, wamekutana na chuma cha kinyakyusa.
 
Ukiacha ushabiki na mihemko ya uchawa ukweli ni kuwa spika ameshindwa kujibu moja kwa moja maswali aliyoulizwa badala yake aka[anoc na kuhemka na kuanza kunibu maswali kwa maswali badala ya majibu.

Hakukuwa na haja ya kuunda dhana zisizo kuwepo kwamba wanaomuuliza kwamba labda wanamdharau au kunafikra za kikoloni au wanadhani kwakuwa anatoka nchi ya chini kabisa hivuo hawezi kuongoza nk.

Spika kajibu na kuongea vitu vingi visivyokuwa na maana kuonesha kuwa anauwezo na kwamba waulizaji wanamdharau.

Yeye alitakiwa kutoa ufafanuzi wa moja kwa moja kukingana na swali na siyo kuanza kulalama na kufoka. Kwa sisi linguists na sychologists tathmini yetu ni kuwa spika alikasirika bila kukasirishwa akidhani wanamdharau.

Spika tayari alikuwa na inferiority complex akataka kuwaonesha kuwa yeye ni strong wakati waulizaji hawakutaka na hawakuwa na mawazo havyo. Spika ajitahidi kuwa mtulivu na kuto kujibu kwa makelele kulalamika na kufoka lile siyo bunge la CCM kama alivyozoea kuwafurusha akina Mpina.

Wengi wanaomsifia ni kuwa hawana uelewa wao ni kama mashabiki wa Simba na Yangu they are not analytical.

Pia soma
- Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin
Aliyeuliza maswali alifikiria? Au we umesikia majibu tu bila kujaua maswali yalitaka Nini. Huenda hatuelewani
Hebu tuwekee swali Moja hapa lililoulizwa
 
Swali la Kwanza

Je! kwanini ulienda Russia badara ya ucraine na kukutana Kisha kushikana mikono na gaidi muuwaji bwana putini?

Jibu lake lilikuwa sahihi na linaingia hakilini

Swali la pili.

Kwanini hukutembelea parestina badara ya Russia?

Jibulake Lili kuwa sahihi na la kueleweka na lenye ushahidi

Swali la tatu

onyesha video uliyo I record ya mazungumzo ya mkutano wako huko Russia

Jibu lake Lili kuwa Safi Sana na lakuvutia & fear less

Lakini pia

aliulizwa ninani aliye kupa kibari Cha kufanya hayo yote?

Majibu yake yalikuwa sahihi na yakueleweka yanayo endana na hulka za muulizaji

Mwisho tulia alizungumzia kwamba sio middle East pekee ndiko kunama chafuko ya kuya care saana

lakini pia Kuna sudani,drc,Somalia nk

Na akasema yeye ni binadamu sio mungu au malaika lakini anafanya kadri ya uwezo wa mamlaka aliyo pewa kukitumikia kiti chake

Hivyo bunge linapaswa kuwa na Imani nayeye ili kutimiza malengo sahihi ya kuamzishwa kwa umoja wa bunge Hilo

Lakini sio kuendelea kuishi kwenye fikra za kikoloni kwamba Hawa sawa Hawa si sawa
 
Anaongea mambo ya ukoloni sijui kutoka Afrika badala ya kujibu alichoulizwa 😁😁😁😁

Ukichunguza sana alifeli Kwa sababu anakawa anahisi anaulizwa as personal wakati anaulizwa kama Rais wa IPU.

Hili ni tatizo la saikolojia Kwa Wanawake Huwa wanadhani unamshambulia personality yake 😂😂

..Watanzania pia tumelemazwa na lugha dhidi ya wakoloni, na mabeberu.

..maneno hayo yamerudiwarudiwa mpaka yamekuwa sehemu ya utamaduni wetu ktk mijadala, au kujenga hoja.

..tumefika mahali Mtanzania baadhi ya Watanzania wakijadiliana au kutofautiana Mzungu moja kwa moja wanapata hisia za ukoloni, au beberu.

..Kuna wazungu wengi ambao nchi zao hazikupata kuwa na makoloni Afrika.

..Kumbukumbu zinanieleza kwamba Uingereza, Ufaransa, Ureno, Ujerumani, Ubelgiji,na Uholanzi, ndio waliowahi kuwa na makoloni Afrika. Je, maswali aliyoulizwa Spika yalitokana na wajumbe wa mataifa hayo, kiasi cha kuhalalisha hoja ya ukoloni?
 
Back
Top Bottom