Ni ajabu tunaongozwa na matajwa na hisia za mwenyekiti wa CCM. " Mwenye shamba" hizi dharau zinapaswa kukoma kwa Katiba Bora.Katiba mpya si takwa la Rais wala Kikosi Kazi....wananchi wanataka Katiba Mpya!
Laana ya kuwanyima wananchi haki yao ya katiba mpya haiwezi kuwa Acha salama!!hyo katiba mpya ingefaa mngeiomba kipindi kile cha Magufuli
Nafikiri point ya mtoa mada ni kuhusu "conflict of interest"....Ndg hapa simtetei mfanyabiashara, ila ebu tuliweke upande wako, gari linafanya kazi na ni gari la biashara ampapo kila siku kama ni zima likiwa halina ubovu linaingiza fedha, Swali niJje! Ni sawa siku ambayo wabunge hawana ratiba gari lisiingize fedha kisa limekudiwa na wabunge huku likiwa limeondolewa kwenye mfumo wa kuingiza fedha?
hyo katiba mpya ingefaa mngeiomba kipindi kile cha Magufuli

CCM ni mchwaWabunge wa Kamati mbalimbali wako ziarani kukagua miradi.
Kampuni ya Shabiby (inayomilikiwa na Mbunge Shabiby) ikalikodisha Bunge mabasi makubwa 10 kwa ajili ya kuwatembeza Wabunge kwa siku 10.
Ni katika mikoa ya Iringa, Njombe na kadhalika.
Kila siku (bila ya kujali basi husika limetembea au la) kila basi linalipiwa shilingi milioni 3. Kwa siku 10 na kwa mabasi 10, ni jumla ya shilingi milioni 300.
Milioni 300 kwa siku 10 kweli? Mbunge Shabiby alipataje 'tender' hiyo ikiwa ana mgongano wa kimaslahi? Huu si ufisadi kweli?
Katiba mpya si takwa la Rais wala Kikosi Kazi....wananchi wanataka Katiba Mpya!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Umepuyanga sehemusasa kama mabus yalikuwa yaende Dar-Dom-Dar na kulaza 1.5mil per day....tumemkodisha mtu anayelipa baada ya miezi mitatu kwanini tusimchaji 3mil?..
Lakini pia huyu Shabiby ni Mzawa ( hapo sasa) na mabus yake yanainsurance na tuna ile sera ya Wazawa kwanza.... Kwanini tutangaze tenda wakati tuna mtu around anaweza kutupa mabus std? na tukaacha mambo ya michakato?
shida kuna watu walikaa kimya kipindi Cha magufuli na kumsifia lakini Cha ajabu Sasa hivi na wao wameibuka kuunga katiba mpya.ni Jambo zuri lakini tuwahoji kwanini Sasa? Na sio kipindi Cha magufuli?
Uenda Samia ana maadui ndani ya ccm.
Hajui kampuni gani waweza chukua mabasi Kumi halafu bado kabaki na mabasi kwenye route zake bila kuathirikaNdg hapa simtetei mfanyabiashara, ila ebu tuliweke upande wako, gari linafanya kazi na ni gari la biashara ampapo kila siku kama ni zima likiwa halina ubovu linaingiza fedha, Swali niJje! Ni sawa siku ambayo wabunge hawana ratiba gari lisiingize fedha kisa limekudiwa na wabunge huku likiwa limeondolewa kwenye mfumo wa kuingiza fedha?
Issue si kununua mabasi bali ni swala la kimaadili, mbona wafanyakazi wanabanwa wanapotaka kutenda shughuli yoyote ya serikali kuwa anatakuwa na conflict of interest iweje mbunge apewe tenda kwani yeye si mtumishi?Na wewe nunua mabasi ya mchina upewe tenda!
Watu wako bungeni kibinafsi zaidi.
Yaani uko lumumba (hell) kisha unajiona ni mtakatifu!! Ulifikaje hapo?Wabunge wa Kamati mbalimbali wako ziarani kukagua miradi.
Kampuni ya Shabiby (inayomilikiwa na Mbunge Shabiby) ikalikodisha Bunge mabasi makubwa 10 kwa ajili ya kuwatembeza Wabunge kwa siku 10.
Ni katika mikoa ya Iringa, Njombe na kadhalika.
Kila siku (bila ya kujali basi husika limetembea au la) kila basi linalipiwa shilingi milioni 3. Kwa siku 10 na kwa mabasi 10, ni jumla ya shilingi milioni 300.
Milioni 300 kwa siku 10 kweli? Mbunge Shabiby alipataje 'tender' hiyo ikiwa ana mgongano wa kimaslahi? Huu si ufisadi kweli?
Katiba mpya si takwa la Rais wala Kikosi Kazi....wananchi wanataka Katiba Mpya!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Kuna tofauti kati ya mbunge na Kampuni ya mabasi!issue si kununua mabasi bali ni swala la kimaadili.mbona wafanyakazi wanabanwa wanapotaka kutenda shughuri yoyote ya serikali kuwa anatakuwa na conflict of interest iweje mbunge apewe tenda kwani yeye si mtumishi?
Sio bunge tu tenda karibu zote za serikali zinapewa kampuni zinazomilikiwa na wanasiasa wa CCM, ndio maana hutumia nguvu nyingi na haramu kuwa madarakaniWabunge wa Kamati mbalimbali wako ziarani kukagua miradi.
Kampuni ya Shabiby (inayomilikiwa na Mbunge Shabiby) ikalikodisha Bunge mabasi makubwa 10 kwa ajili ya kuwatembeza Wabunge kwa siku 10.
Ni katika mikoa ya Iringa, Njombe na kadhalika.
Kila siku (bila ya kujali basi husika limetembea au la) kila basi linalipiwa shilingi milioni 3. Kwa siku 10 na kwa mabasi 10, ni jumla ya shilingi milioni 300.
Milioni 300 kwa siku 10 kweli? Mbunge Shabiby alipataje 'tender' hiyo ikiwa ana mgongano wa kimaslahi? Huu si ufisadi kweli?
Katiba mpya si takwa la Rais wala Kikosi Kazi....wananchi wanataka Katiba Mpya!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Wabunge wa Kamati mbalimbali wako ziarani kukagua miradi.