Nani alikwambia haikuombwa au ulikuwa nje ya nchi?Kwani Spika na bunge wamezidisha urefu wa kamba yao katika kutekeleza majukumu kuliko walivyo ruhusuwa? Ungeanzia hapo.
Yale mabasi ya serikali/ bunge yaliyo nunuliwa kipindi cha nyuma kwa shughuli kama hizi yako wapi?
Ni kweli kabisa haileti afya katika mambo ya check and balanceissue si kununua mabasi bali ni swala la kimaadili.mbona wafanyakazi wanabanwa wanapotaka kutenda shughuri yoyote ya serikali kuwa anatakuwa na conflict of interest iweje mbunge apewe tenda kwani yeye si mtumishi?
Wabunge wa Kamati mbalimbali wako ziarani kukagua miradi.
Kampuni ya Shabiby (inayomilikiwa na Mbunge Shabiby) ikalikodisha Bunge mabasi makubwa 10 kwa ajili ya kuwatembeza Wabunge kwa siku 10.
Ni katika mikoa ya Iringa, Njombe na kadhalika.
Kila siku (bila ya kujali basi husika limetembea au la) kila basi linalipiwa shilingi milioni 3. Kwa siku 10 na kwa mabasi 10, ni jumla ya shilingi milioni 300.
Milioni 300 kwa siku 10 kweli? Mbunge Shabiby alipataje 'tender' hiyo ikiwa ana mgongano wa kimaslahi? Huu si ufisadi kweli?
Katiba mpya si takwa la Rais wala Kikosi Kazi....wananchi wanataka Katiba Mpya!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Huyo binti ni hopeless kati ya watu waliobebwaWabunge wa Kamati mbalimbali wako ziarani kukagua miradi.
Kampuni ya Shabiby (inayomilikiwa na Mbunge Shabiby) ikalikodisha Bunge mabasi makubwa 10 kwa ajili ya kuwatembeza Wabunge kwa siku 10.
Ni katika mikoa ya Iringa, Njombe na kadhalika.
Kila siku (bila ya kujali basi husika limetembea au la) kila basi linalipiwa shilingi milioni 3. Kwa siku 10 na kwa mabasi 10, ni jumla ya shilingi milioni 300.
Milioni 300 kwa siku 10 kweli? Mbunge Shabiby alipataje 'tender' hiyo ikiwa ana mgongano wa kimaslahi? Huu si ufisadi kweli?
Katiba mpya si takwa la Rais wala Kikosi Kazi....wananchi wanataka Katiba Mpya!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Conflict of interest hawaijuhi haoWabunge wa Kamati mbalimbali wako ziarani kukagua miradi.
Kampuni ya Shabiby (inayomilikiwa na Mbunge Shabiby) ikalikodisha Bunge mabasi makubwa 10 kwa ajili ya kuwatembeza Wabunge kwa siku 10.
Ni katika mikoa ya Iringa, Njombe na kadhalika.
Kila siku (bila ya kujali basi husika limetembea au la) kila basi linalipiwa shilingi milioni 3. Kwa siku 10 na kwa mabasi 10, ni jumla ya shilingi milioni 300.
Milioni 300 kwa siku 10 kweli? Mbunge Shabiby alipataje 'tender' hiyo ikiwa ana mgongano wa kimaslahi? Huu si ufisadi kweli?
Katiba mpya si takwa la Rais wala Kikosi Kazi....wananchi wanataka Katiba Mpya!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Wabunge wangapi?Wabunge wa Kamati mbalimbali wako ziarani kukagua miradi.
Kampuni ya Shabiby (inayomilikiwa na Mbunge Shabiby) ikalikodisha Bunge mabasi makubwa 10 kwa ajili ya kuwatembeza Wabunge kwa siku 10.
Ni katika mikoa ya Iringa, Njombe na kadhalika.
Kila siku (bila ya kujali basi husika limetembea au la) kila basi linalipiwa shilingi milioni 3. Kwa siku 10 na kwa mabasi 10, ni jumla ya shilingi milioni 300.
Milioni 300 kwa siku 10 kweli? Mbunge Shabiby alipataje 'tender' hiyo ikiwa ana mgongano wa kimaslahi? Huu si ufisadi kweli?
Katiba mpya si takwa la Rais wala Kikosi Kazi....wananchi wanataka Katiba Mpya!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Unajua maana ya ushindani,kila mtu angetenda kutokana na uwezo wake,labda kuna mwingine angeleta bei ndogo ama badala yake mwingine angetaja kuchaji kutokana na Km zitakazotembeaHapo Dodoma nani mwingine ana uwezo wa kutoa basi 10 na biashara yake ikaenda kama kawaida?
Kwa mil3 kama wese anajaza mwenyewe Shabiby ni sawa.
Kule migodini basi za wafanyakazi zinapewa laki 5 kwa siku na wese wanaweka wenyewe mgodi.
Aliombwa ila alikataaHiyo katiba mpya ingefaa mngeiomba kipindi kile cha Magufuli
Je, kanuni za manunuzi serikalini zinaruhusu kununua kwenye duka la mwajiriwa wake?Wabunge wa Kamati mbalimbali wako ziarani kukagua miradi.
Kampuni ya Shabiby (inayomilikiwa na Mbunge Shabiby) ikalikodisha Bunge mabasi makubwa 10 kwa ajili ya kuwatembeza Wabunge kwa siku 10.
Ni katika mikoa ya Iringa, Njombe na kadhalika.
Kila siku (bila ya kujali basi husika limetembea au la) kila basi linalipiwa shilingi milioni 3. Kwa siku 10 na kwa mabasi 10, ni jumla ya shilingi milioni 300.
Milioni 300 kwa siku 10 kweli? Mbunge Shabiby alipataje 'tender' hiyo ikiwa ana mgongano wa kimaslahi? Huu si ufisadi kweli?
Katiba mpya si takwa la Rais wala Kikosi Kazi....wananchi wanataka Katiba Mpya!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Ata baada ya magu kuondoka imejihidhihirisha kua katiba tuliyonayo ina mapungufu makubwa yasiyohitaki kufumbiwa macho zaidi.Hiyo katiba mpya ingefaa mngeiomba kipindi kile cha Magufuli
Angeua watu Kichaa yule, ndio Maana Mungu akamtwaaHiyo katiba mpya ingefaa mngeiomba kipindi kile cha Magufuli
Acha wivu wa kijinga, hapo kwenye kukodi mabasi ya Shabiby yana uhusiano gani na Katiba mpya? Halafu huna uelewa kabisa wa mambo ya kukodi mitambo. Ni wananchi gani wanataka Katiba Mpya?Wabunge wa Kamati mbalimbali wako ziarani kukagua miradi.
Kampuni ya Shabiby (inayomilikiwa na Mbunge Shabiby) ikalikodisha Bunge mabasi makubwa 10 kwa ajili ya kuwatembeza Wabunge kwa siku 10.
Ni katika mikoa ya Iringa, Njombe na kadhalika.
Kila siku (bila ya kujali basi husika limetembea au la) kila basi linalipiwa shilingi milioni 3. Kwa siku 10 na kwa mabasi 10, ni jumla ya shilingi milioni 300.
Milioni 300 kwa siku 10 kweli? Mbunge Shabiby alipataje 'tender' hiyo ikiwa ana mgongano wa kimaslahi? Huu si ufisadi kweli?
Katiba mpya si takwa la Rais wala Kikosi Kazi....wananchi wanataka Katiba Mpya!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Huyo unayemleta ubishi wa kitoto hata mkusanyane ukoo mzima hamfikii IQ aliyonayo yeye mtu mmoja tu.Acha wivu wa kijinga, hapo kwenye kukodi mabasi ya Shabiby yana uhusiano gani na Katiba mpya? Halafu huna uelewa kabisa wa mambo ya kukodi mitambo. Ni wananchi gani wanataka Katiba Mpya?