Spika Tulia, huu si ufisadi kweli Bunge kukodi mabasi ya Shabiby?

Mimi nadhani hiyo ndio best and cheapest option, kuliko nyingine zote.
 
Hata kuwalipa POSHO na MISHAHARA Akina MDEE na GENGE LAKE ni UFISADI kwani Sio Wabunge HALALI hawana CHAMA
 
Tuwe tunapiga hesabu kdg kabla ya kulaumu vtu kama hv,sioni pesa nyingi kwenye hyo kazi,labda kama ni kosa kukodishwa mabasi ya mbunge....ukijua basi moja linatakiwa kulaza sh ngapi kwa siku njoo ulaumu tena.
 
Huyo Shabiby atakuja kuwafaa wakati wa kampeni za uchaguzi atawapa hayo mabasi yake mfanyie kampeni na mtanyamaza kimya, kwa kisingizio mtakuja kumuangalia mbele ya safari, hapo ni CCM wanamlipa fadhila.

Ufisadi CCM ni nyumbani kwake.

Naomba kuuliza. Mfano CHadema wangefanya tofauti ehhhh. Acha kutaja vyama Katika utamaduni wa Mtanzania.
 

Spika Tulia, Bunge kukodi mabasi ya Shabiby ifike mahali Bunge liwe na mabasi yake maalum ya kuwabena wabunge kwenda kutembelea miradi.​

Hali hii ya kukodisha mabasi ni ufundi wa Mchana peupeeee​

 

 
Ukiwa na utapiamlo wa akili ukaona neno 'speaker' linavyotajwa kila wakati hapa JF na mambumbumbu unaweza kufikiri kuwa Tanzania ni kweli ina speaker wa Bunge.
 
Sasa mtu akiwa anakula kutokana na urefu wa kamba yake kama Bimkubwa alivoagiza, hilo nalo ni jambo la kukasirika?
 
Mzee VUTA-NKUVUTE hicho kiwango je ni pamoja na kuwekewa mafuta au kiwango hicho mafuta anaweka mwenyewe shabiby?

Hizi biashara zipo tofauti sana usije kuona kama pesa ni nyingi hiyo ukilanganisha na kama kila mmoja angetumia v8 lake ama sivyo zile coaster za taasisi mbali mbali zingekusanywa ili ziwabebe hao wanakamati.
 
Kwa watu tunaodeal na hizi biashara hili ni lazima ulizingatie ukitoa gari kwenye ruti yako hakikisha unapata kile unachopata siku zote na si vinginevyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…