Spika Tulia kwanini asiwasaidie watanzania kimya kimya kama ana nia njema? Picha alizopigwa huyu bibi kumshukuru Tulia zinafikirisha

Ameona Mbowe kamfunika kwenye media
 
Hakuna katili anayeweza kutoa msaada
 
Hiyo ni trailer tutaona mengi yanakuja...tegemea kuona mengi zaidi ya haya kipindi hiki tukiukaribia uchaguzi.
 
Acha matendo mema yafanyike kwenye nuru ili wengine wawe 'inspired' kusaidia jamii zao.

Mkuu,

Kama unahitaji "inspiration" kutoka kwenye drama hizi za Tulia ili usaidie Watanzania wenzako basi utakuwa ni mtu usiyejielewa.

Kwani kabla ya hizi picha kutoka Tulia watanzania tulikuwa hatusaidiani?

Huyo Tulia kuna some point in her life lazima alihitaji mtu amsaidie kwa njia moja au nyingine, yeye alipigwa picha?
 
Wakuu hapo ni TuliaTrust ,maana yake inawezekana nyuma yake pia ana marafiki wa Ulaya , wazungu hawataki Maneno, wanataka ushahidi wa picha.

Hivo anachofanya ni TuliaTrust.
 
Watu mnachuki binasfi na Tulia, hata akifanya mambo mema bado mnaleta vidomodomo.

Mtakuwa mnatumiwa na yule mvuta bange anayeimba muziki wa kufokafoka.

Yaani mimi nimchukie Tulia mkuu?

Hahahaha!

Thats the funniest thing ive read today.
 
Wakuu hapo ni TuliaTrust ,maana yake inawezekana nyuma yake pia ana marafiki wa Ulaya , wazungu hawataki Maneno, wanataka ushahidi wa picha.

Hivo anachofanya ni TuliaTrust.

Ni organization gani ya wazungu wanayohitaji wanaosaidiwa wapige magoti ili kuonesha wamepokea msaada?

Plus nimeona kuna watu wanachanga mtandaoni kusaidia hii trust yake.

SIdhani kama kuna wazungu wanahusika hapo mkuu
 
Mwanasiasa hafanyi jambo kwa ajili yako bali ni kwa ajili yake mwenyewe hata kama atakufanyia wewe
 
Wewe unayeropka humu JF kila saa kuwasema vibaya wenzako sio mshamba bali ni Great Thinker sio? Basi sawa!
Tulia ni moja ya watu maarufu Washamba. Nafikiri amefika hapo kizali. Kwa hiyo ameshindwa kuficha ushamba kabisa
 
Kwenye ulimwengu wa umaarufu kuna watu wako huko kimakosa bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…