Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
TULIA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameona Mbowe kamfunika kwenye mediaWakuu,
Kwa picha hizi tutakuwa tunakosea tukisema Tulia anatumia Watanzania masikini kama mtaji wa kisiasa?
Kuna haja gani ya kuwasaidia hawa watanzania kama huo msaada unahusisha makamera na press za kutia tia huruma?
Kuna watanzania wengi sana, wana majina makubwa na wanasaidia watu kimya kimya bila kuwapiga picha kwa style hii.
Picha hii ya huyu bibi anampigia Tulia magoti kumshukuru, ina-speak volumes about hii misaada ya wanasiasa.
Kama lengo la kupiga hizi picha na kuziweka mtandaoni ni kutoa hamasa kwa watu wengine kutoa misada, this is a wrong approach.
Nobody atakuwa motivated kuwa na roho ya utoaji kisa tu kaona hii picha kutoka kwa Tulia.
View attachment 3195207
Hakuna katili anayeweza kutoa msaadaWakuu,

Acha matendo mema yafanyike kwenye nuru ili wengine wawe 'inspired' kusaidia jamii zao.
Hata akitoa atakudhalilisha tuHakuna katili anayeweza kutoa msaada
Watu mnachuki binasfi na Tulia, hata akifanya mambo mema bado mnaleta vidomodomo.
Mtakuwa mnatumiwa na yule mvuta bange anayeimba muziki wa kufokafoka.
Wakuu hapo ni TuliaTrust ,maana yake inawezekana nyuma yake pia ana marafiki wa Ulaya , wazungu hawataki Maneno, wanataka ushahidi wa picha.
Hivo anachofanya ni TuliaTrust.
Wewe unayeropka humu JF kila saa kuwasema vibaya wenzako sio mshamba bali ni Great Thinker sio? Basi sawa!Tulia ni moja ya watu maarufu Washamba. Nafikiri amefika hapo kizali. Kwa hiyo ameshindwa kuficha ushamba kabisa
Steve Nyerere wa kike huyu.Huyu Mama ni Mshba na limbukeni wa mitandao, mpaka leo ahamini hapo alipo, ni mtu wa kujikweza na Showoff nyingi sana
Mwanasiasa hafanyi jambo kwa ajili yako bali ni kwa ajili yake mwenyewe hata kama atakufanyia weweWakuu,
Kwa picha hizi tutakuwa tunakosea tukisema Tulia anatumia Watanzania masikini kama mtaji wa kisiasa?
Kuna haja gani ya kuwasaidia hawa watanzania kama huo msaada unahusisha makamera na press za kutia tia huruma?
Kuna watanzania wengi sana, wana majina makubwa na wanasaidia watu kimya kimya bila kuwapiga picha kwa style hii.
Picha hii ya huyu bibi anampigia Tulia magoti kumshukuru, ina-speak volumes about hii misaada ya wanasiasa.
Kama lengo la kupiga hizi picha na kuziweka mtandaoni ni kutoa hamasa kwa watu wengine kutoa misada, this is a wrong approach.
Nobody atakuwa motivated kuwa na roho ya utoaji kisa tu kaona hii picha kutoka kwa Tulia.
View attachment 3195207
We si unamuona tu anavyo vaa huyo 2liaTulia ni moja ya watu maarufu Washamba. Nafikiri amefika hapo kizali. Kwa hiyo ameshindwa kuficha ushamba kabisa
Tulia ni moja ya watu maarufu Washamba. Nafikiri amefika hapo kizali. Kwa hiyo ameshindwa kuficha ushamba kabisaWewe unayeropka humu JF kila saa kuwasema vibaya wenzako sio mshamba bali ni Great Thinker sio? Basi sawa!
Kwenye ulimwengu wa umaarufu kuna watu wako huko kimakosa broWakuu,
Kwa picha hizi tutakuwa tunakosea tukisema Tulia anatumia Watanzania masikini kama mtaji wa kisiasa?
Kuna haja gani ya kuwasaidia hawa watanzania kama huo msaada unahusisha makamera na press za kutia tia huruma?
Kuna watanzania wengi sana, wana majina makubwa na wanasaidia watu kimya kimya bila kuwapiga picha kwa style hii.
Picha hii ya huyu bibi anampigia Tulia magoti kumshukuru, ina-speak volumes about hii misaada ya wanasiasa.
Kama lengo la kupiga hizi picha na kuziweka mtandaoni ni kutoa hamasa kwa watu wengine kutoa misada, this is a wrong approach.
Nobody atakuwa motivated kuwa na roho ya utoaji kisa tu kaona hii picha kutoka k
Atuli c ndioTULIA
Sawa. Wewe unayemuonea Wivu Dk. Tulia ni Great Thinker na nimekukubali!Tulia ni moja ya watu maarufu Washamba. Nafikiri amefika hapo kizali. Kwa hiyo ameshindwa kuficha ushamba kabisa