mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Wanakuchezea wewe na nani mkuu?Leo gazeti la Mwananchi limeripoti kuwa akina mdee wameonekana bungeni.
Na Mnyika nae akapost kuwa Barua ilishafika kwa tulia.
Swali kwanini wanawang'ang'ania hao Covid19?
View attachment 2222528
Spika atasema kwamba hajapata barua rasmi kutoka chadema inayo mtaarifu kwamba wamefukuzwa uanachama.Leo gazeti la Mwananchi limeripoti kuwa akina mdee wameonekana bungeni.
Na Mnyika nae akapost kuwa Barua ilishafika kwa tulia.
Swali kwanini wanawang'ang'ania hao Covid19?
View attachment 2222528
Tuma muhtasari wenye Majina na sahihi za waliopiga kura ya maamuzi tuone kama atapindishaLeo gazeti la Mwananchi limeripoti kuwa akina mdee wameonekana bungeni.
Na Mnyika nae akapost kuwa Barua ilishafika kwa tulia.
Swali kwanini wanawang'ang'ania hao Covid19?
View attachment 2222528
Nchi imekosa taasisi za kuwajibisha wahuni na mafisadišLeo gazeti la Mwananchi limeripoti kuwa akina mdee wameonekana bungeni.
Na Mnyika nae akapost kuwa Barua ilishafika kwa tulia.
Swali kwanini wanawang'ang'ania hao Covid19?
View attachment 2222528
Msiwe mnakurupuka.Leo gazeti la Mwananchi limeripoti kuwa akina mdee wameonekana bungeni.
Na Mnyika nae akapost kuwa Barua ilishafika kwa tulia.
Swali kwanini wanawang'ang'ania hao Covid19?
View attachment 2222528
Uongo mbona wale wa Cuf hawakulazwa damu, sema CCM wanaofia kukosa wabunge wa upinzani Bungeni Ni doa mbele ya foreignMsiwe mnakurupuka.
Bunge ni taasisi haliwezi kufanya kazi bila taarifa rasmi kimaandishi.
Hivyo hadi barua iwafikie na wao waichambue na kuangalia vifungu vya shwria vya kusimamia na kupitia katiba ya cdm.
Ndipo watakuja kutangaza rasmi bungeni.
Na akina mdee hadi sasa bado ni wabunge japo ni fake hadi hapo spika atakapotangaza rasmi na kukabidhiwa barua zao za kusimamishwa ubunge.
Walipokelewa kwa barua na watafukuzwa kwa mujibu wa sheria kimaandishi pia.
Spika hajachelewa na wao hawajakosea kwenda bungeni.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Feminism at work!"Nguvu ya mwanamke".
Tunsumu ujinga.Nchi imekosa taasisi za kuwajibisha wahuni na mafisadi[emoji849]
Watu wasiostahili kuwa wabunge wapo bungeni kwa gharama za nani?!
Strong truthMlidlumiwa kura mmetulia tu sasa hawa mnawashupalia wa nini? Lipi zito, la kuibiwa kura mkatulia au hawa covid 19. Ningewaona wa maana kama kweli mlikuwa na ushahidi mngefuatlia rafu za uchaguzi mkuu 2020 hata hawa mnaowabuluza leo msingefika huku. Au imeandikwa kuwa uchaguzi ukishamalizika upende ama usipende matokeo yaliyotangazwa ni halali yasiyopingika? Sijui kama mlisaini kukubaliana na matokeo [emoji16][emoji16]
Hakuna cha doa.Uongo mbona wale wa Cuf hawakulazwa damu, sema CCM wanaofia kukosa wabunge wa upinzani Bungeni Ni doa mbele ya foreign