Spika tulia na wakina Mdee bado wanatuchezea

Spika tulia na wakina Mdee bado wanatuchezea

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Leo gazeti la Mwananchi limeripoti kuwa akina mdee wameonekana bungeni.

Na Mnyika nae akapost kuwa Barua ilishafika kwa tulia.
Swali kwanini wanawang'ang'ania hao Covid19?

FB_IMG_16524255783133524.jpg
 
Mlidlumiwa kura mmetulia tu sasa hawa mnawashupalia wa nini? Lipi zito, la kuibiwa kura mkatulia au hawa covid 19. Ningewaona wa maana kama kweli mlikuwa na ushahidi mngefuatlia rafu za uchaguzi mkuu 2020 hata hawa mnaowabuluza leo msingefika huku. Au imeandikwa kuwa uchaguzi ukishamalizika upende ama usipende matokeo yaliyotangazwa ni halali yasiyopingika? Sijui kama mlisaini kukubaliana na matokeo 😁😁
 
Leo gazeti la Mwananchi limeripoti kuwa akina mdee wameonekana bungeni.

Na Mnyika nae akapost kuwa Barua ilishafika kwa tulia.
Swali kwanini wanawang'ang'ania hao Covid19?

View attachment 2222528
Spika atasema kwamba hajapata barua rasmi kutoka chadema inayo mtaarifu kwamba wamefukuzwa uanachama.
Ama kama amepata barua kutoka chadema, atasema kwamba hana taarifa rasmi kutoka kwa msajili wa vyama vya siasa.
Baada ya hapo bunge litalipuka kwa shangwe na kisha spika atatangaza kwamba yeye anawatambua kama wabunge halali wa chadema.
 
Leo gazeti la Mwananchi limeripoti kuwa akina mdee wameonekana bungeni.

Na Mnyika nae akapost kuwa Barua ilishafika kwa tulia.
Swali kwanini wanawang'ang'ania hao Covid19?

View attachment 2222528
Nchi imekosa taasisi za kuwajibisha wahuni na mafisadi🙄
Watu wasiostahili kuwa wabunge wapo bungeni kwa gharama za nani, na ni nani anaidhinisha huo wizi?!!!
 
Leo gazeti la Mwananchi limeripoti kuwa akina mdee wameonekana bungeni.

Na Mnyika nae akapost kuwa Barua ilishafika kwa tulia.
Swali kwanini wanawang'ang'ania hao Covid19?

View attachment 2222528
Msiwe mnakurupuka.
Bunge ni taasisi haliwezi kufanya kazi bila taarifa rasmi kimaandishi.
Hivyo hadi barua iwafikie na wao waichambue na kuangalia vifungu vya shwria vya kusimamia na kupitia katiba ya cdm.

Ndipo watakuja kutangaza rasmi bungeni.
Na akina mdee hadi sasa bado ni wabunge japo ni fake hadi hapo spika atakapotangaza rasmi na kukabidhiwa barua zao za kusimamishwa ubunge.

Walipokelewa kwa barua na watafukuzwa kwa mujibu wa sheria kimaandishi pia.

Spika hajachelewa na wao hawajakosea kwenda bungeni.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Uongo mbona wale wa Cuf hawakulazwa damu, sema CCM wanaofia kukosa wabunge wa upinzani Bungeni Ni doa mbele ya foreign
 
Nchi imekosa taasisi za kuwajibisha wahuni na mafisadi[emoji849]
Watu wasiostahili kuwa wabunge wapo bungeni kwa gharama za nani?!
Tunsumu ujinga.
Wameenda kwasababu bado hawajafukuzwa rasmi na bunge tena kimaandishi.
Hii ni taasisi lazima kila kitu kiende kitaratibu.

Barua kama imemfikia spika jana au leo hawezi kutoa uamuzi leo.
Huenda ikawa Jumatatu hadi Jumatano ijayo.
Spika atakaa na jopo lake au kamati husika waipitie barua ya kuachishwa uanachama ndipo nao wawaandikie barua ya kusimamishwa ubunge na ndipo atatangaza bungeni.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Mlidlumiwa kura mmetulia tu sasa hawa mnawashupalia wa nini? Lipi zito, la kuibiwa kura mkatulia au hawa covid 19. Ningewaona wa maana kama kweli mlikuwa na ushahidi mngefuatlia rafu za uchaguzi mkuu 2020 hata hawa mnaowabuluza leo msingefika huku. Au imeandikwa kuwa uchaguzi ukishamalizika upende ama usipende matokeo yaliyotangazwa ni halali yasiyopingika? Sijui kama mlisaini kukubaliana na matokeo [emoji16][emoji16]
Strong truth
 
Huyu Marehemu katuharibia sana nchi na siasa zetu.
 
Back
Top Bottom