Spika Tulia unamharibia Rais Samia nchi, mambo mabaya yameharibikia mikononi mwako

Huyu
Huyu anaonekana pia ni mchawi!
 
hakuna ukweli ndani ya hilo usemalo
 
Ye hapendi kuishi?
Mnapenda kuyachukulia mambo juu juu
Hebu mkue basi.
Kama anapenda kuishi kwanini akubali majukumu ambayo hayawezi tena kwakuapa huku akijua yeye anamwamini Mungu? Si awaachie ambao watakuwa tayari kufa kwaajili ya nchi Yao?
 
Samia ni Rais mzuri sn kama angesimama yeye kama yeye tatizo karuhusu haya mafisadi yamzidi nguvu ndiyo hapo wanampoteza sn
Ni Rais msikivi, na anatoa nafasi Kwa watu kutumia utaalamu wao kama team na yeye refa, tatizo ni wafungaji magoli Wana butua huko Kila wanapopewa fursa....
 
Hilo la mafuta kwake ni gumu sana, inasemekana mumewe ndiye boss wa EWURA
 
Nadhani hata nafasi ya uwaziri hawatoshi waishie tu kwenye ukuu wa mikoa huko na ubunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…