Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Nadhani wamerudishwa kwenye majukumu yao ya awali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nijuavyo hawakufukuzwa bali walivuliwa cheo cha ukuu wa shule.Walimu waliokuwa wamesimamishwa kazi kutokana na wanafunzi wa shule yao kucheza nyimbo ya haniiii ya msanii wa miondoko ya bongo flava zuchu warudishwa kazini hii ni kutokana na spika wa bunge kusema warejeshwe kazini na kupewa fursa ya kuhojiwa maana nyimbo waliokuwa wanacheza na wanafunzi haijafungiwa na basata
Nipe tofauti ya kusimamishwa kazi na kuondolewa madaraka ???? Usinipangie cha kuandika hapa sawa wewe sio mmiliki wa JamiiforumsAc ha Uongo hakuna mwalimu aliyesimamishwa kazi,.waliondolewa madaraka...ukuu wa Shule ! Jambo huna taarifa nalo Kwa Nini unakuwa na kimbelembele Cha kuanzisha Uzi!
KumbeMkuu nijuavyo hawakufukuzwa bali walivuliwa cheo cha ukuu wa shule.
Nchi hii ina habari mseto kama dawa za malaria
Hao hawakufukuzwa na mtu, Waziri alinyoosha maelezo, alimwagiza anayehusika awavue vyeo tuKumbe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaa haichekeshi ila nimecheka.Nipe tofauti ya kusimamishwa kazi na kuondolewa madaraka ???? Usinipangie cha kuandika hapa sawa wewe sio mmiliki wa Jamiiforums
To be fired vs to be demoted! Two different things, kiufupi walikuwa wamemuondoa kwenye kupata posho ya madaraka ila basic salary yake iko palepaleNipe tofauti ya kusimamishwa kazi na kuondolewa madaraka ???? Usinipangie cha kuandika hapa sawa wewe sio mmiliki wa Jamiiforums
Mkuu hebu ficha ujinga basi ...hivi ni kweli misamiati ya kawaida kama hiyo unashindwa kutofautisha! Nafikiri umeelewa kupitia kwenye michango ya wadau! Jukwaa hili ni la Umma ,,huwezi kuleta pumba tukakuacha tu!Nipe tofauti ya kusimamishwa kazi na kuondolewa madaraka ???? Usinipangie cha kuandika hapa sawa wewe sio mmiliki wa Jamiiforums
....Ungemuelewesha TU badala ya kumtaka aache UONGO....wakati Nia yake natumaini haikuwa kutuambia UONGO Bali labda alichanganya TU madesa !! [emoji846][emoji846]Ac ha Uongo hakuna mwalimu aliyesimamishwa kazi,.waliondolewa madaraka...ukuu wa Shule ! Jambo huna taarifa nalo Kwa Nini unakuwa na kimbelembele Cha kuanzisha Uzi!
Huyo dada ndo hajielewi. Anasema eti hajasikilizwa! Mtu akionekana amefanya kosa kwanza husimamishwa, then baada ya uchunguzi anaitwa mbele ya jopo ajetetee. Sasa yeye mtu kasimamishwa anasema arejeshwe hata mamlaka haijamuitaHuyo waziri wa elimu hajielewi
Maagizo yapo. Tatizo la sisi watanzania ni vigeugeu. Waziri angekaa kimya, nyie nyie mngesema hatua hazijachukuliwa, serikali dhaifu. Wakichukua hatua mnasema kaonewa1.Walimu walionewa kwa hatua ile iliyochukuliwa.
2.Ila hiyo haiondoi ukweli kuwa miziki ya sasa ni ya hovyo sana kimaadili.
3.Mamlaka zije na agizo maalumu kuhusu miziki inayofaa kupigwa mashuleni, na Prof.Mkenda asibezwe kwa nia yake ya kulinda maadili.