Spika Tulia: Wapinga uwekezaji bandarini waangushiwa kitu kizito. Wanaosema watahamasisha watu wasilipe kodi, wajaribishe waone

Kama ni uko T.G.A hakuna kitu uko bora angekuwa uku kwetu angekuwa na akili nzuri
 
"Leo (jana) hukumu ya kupinga mkataba wa bandari imetoka lakini kabla e wasiwasi hizi fedha nyingi tunazozitaja tunataka Serikali ituletee"
Siasa za kutishana hazina tija ni vzr apangue hoja za wanaopinga mkataba wa DP world. NB; Ni upotoshaji kusema watanzania wanapinga uwekezaji!! Watu wanapinga some content zilizopo kweny mkataba!!
 
Kuna hoja gani kwa kusema Bandari imeuzwa? au tuambie wewe imeuzwa shilingi ngapi?
 
Hivi kwa hali hiyo inawezekanaje mtu kama huyo akawa spika wa bunge? Tumeona athari za hiyo misimamo yake kuhusu hili suala la bandari kule bungeni.

Sijui kwa nini hatupo serious kama nchi?
Ubunge na uspika si alipewa enzi za mwendazake? Kwenye uchaguzi wa 2020 alishindwa na Sugu, sema kawekwa kwa mtutu!
 
Safi kabisa madam Spika, hawa wehu na mahaters lazima wajinyee mwaka huu. Mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, amewakaba hadi katika penati yao!!
 
Huyu ana tofauti gani na mpagani? Hajawahi kuwa na Mungu. Huyu na yule m TAG mwenziwe Katibu Mkuu Nishati wana tofauti gani? Wote wezi waliobaki na dini si Mungu
 
"Leo (jana) hukumu ya kupinga mkataba wa bandari imetoka lakini kabla haijatoka nilishafanya mikutano kadhaa nikawaambia wana-Mbeya mjini nya huo ufafanuzi.
Huyu mama nae, na mwanya wake, kuwa mwalimu wa wanasheria hakukufsnyi usiwe mwizi, ni sawa umesoma huo mkataba, jibu hoja zilizopo, Sisi hatuhitaji utuambie kiwango cha elimu yako, jibu hoja!! Yap ndani, ya ccm wapo waliosoma mpaka hazard, mtu kama Kabudi, lakini ni waongo na wezi, Kabudi si alituingiza Chaka kwenye makinikia, na tilioni 400!
 
Kesi ya bandari haiendi mahakama ya rufaa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…