Aliowafundisha wote si mahiri katika sheria, kwa nini tunashindwa kesi nyingi. Mwalimu mzuri hajisifii mazao yake yatampandisha, lakini si kwa kufeli huku kwenye kesi tulizonazo. Majibu ya mkataba wa bandari tutayapata tukaposhitakiwa"Leo (jana) hukumu ya kupinga mkataba wa bandari imetoka lakini kabla