Chikenpox
JF-Expert Member
- Oct 15, 2022
- 784
- 1,246
Leo kwenye uzinduzi wa ujenzi wa uwanja wa Msalato Dodoma akisema eti amesikia kwenye mitandao ya kijamii kwamba rais Samia anaenda China. Hivi kweli spika mzima unasema umesikia kwenye mitandao ya kijamii kweli!
Spika anaongoza muhimili muhimu Sana wa kuhoji safari za rais lakini ndio huyo hajui hata safari za rais kiasi ambacho naye anasikia kwenye mitandao ya kijamii maana yake rais hatambui umuhimu wa mbunge au bunge halijitambui linasimamia nini!
Tunasafari ndefu sana