Spika wa Bunge Dkt. Tulia amenishangaza sana leo!

Spika wa Bunge Dkt. Tulia amenishangaza sana leo!

Hivi inawezekana Kassim kweli hakujuwa Magufuli alikuwa mgonjwa tabani wakati huo?
Hata kama alikuwa anajua isingekuwa sahihi kueleza ukweli kuhusu afya ya Rais maana ingeleta taharuki kubwa !! Mbona mambo kama hayo huwa yanatokea sana duniani ! Watu wanakuja kujulishwa wakati tayari wameshajiandaa kisaikolojia baada ya kutomuona kiongozi wao kwa muda mrefu. !
 
Leo kwenye uzinduzi wa ujenzi wa uwanja wa msalato dodoma akisem eti amesikia kwenye mitandao ya kijamii kwamba rais Samia anaenda China. Hivi kweli spika mzima unasema umesikia kwenye mitandao ya kijamii kweli!!!

Spika anaongoza muhimili muhimu Sana wa kuhoji safari za rais lakini ndo huyo hajui hata safari za rais kiasi ambacho naye anasikia kwenye mitandao ya kijamii maana yake rais hatambui umuhimu wa mbunge au bunge halijitambui linasimamia nini!!

Tunasafari ndefu sana
Hajakosea, amewakumbusha wajibu wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi anapishwa kuitumikia nchi hii kama PM aliapa atakua mkweli, muwazi na muadilifu. Huoni kama ameenda kinyume na kiapo chake kwa kuudanganya umma?
Kuna kipengele cha sitatoa Siri za serikali, Wewe hizo Siri unazijua?
 
Kipindi anapishwa kuitumikia nchi hii kama PM aliapa atakua mkweli, muwazi na muadilifu. Huoni kama ameenda kinyume na kiapo chake kwa kuudanganya umma?
kuwa mkweli haina maana kila utakapo ulizwa basi wewe unasema

ingekuwa hivyo siri za serikali zingekuwa nje nje

yaani hata humu tungekuwa tunauliza mambo nyeti ya serikali na kujibiwa na mawaziri waliopo humu kwa kisingizio cha kiapo usemacho
 
Alisema Yupo Mzima Anachapa Kazi, Kumbe Amelala Mauti Kitambo
kifo cha raisi kina taratibu zake kutangazwa waziri hakuwa na hayo mamlaka

waziri alikuwa sahihi hadi kesho
 
Kasimu Majaliwa alikuwa sahihi sana kwenye hii kauli ni wapuuzi tu wanao shikiria na kuona hakuwa sahihi. Unajua kauli yake ya raisi yuko mahututi ingeiweka nchi kwenye hali gani

Unajua mchwa wangeiba kiasi gani hasa kwa kufahamu mwamba si muda anakata kamba (kama tu walipiga baada ya kifo vipi wangefahamu mapema )

Kwa mtazamo wangu Majaliwa yuko sahihi sana. Kwenye familia tu mzee akiwa mahututi taarifa haitolewi kiholela iwe raisi, yaani kiwepesi tu uambiwe hali ya raisi iko matatani

Mmerogwa nyie

Wale watoto wadogo ndiyo hawaelewi hili. Lkn wahenga tunajua maana yake ni nini!! Zaidi ya miaka 20 iliyopita, sintofahamu kama hiyo ilitokea DRC alivyo kufa Kabira sr. Alipelekwa Zimbabwe wakati yu mauti, lkn maarifa zizotolewa zilikuwa ni kwamba anatibiwa na hali yake inazidi kuimarika. Yiite hiyo ni kuhakikisha amani na utulivu vinaendelea kudumishwa.
 
kwenye familia tu kutoa taarifa ya kifo sio kirahisi hivi

huwa nashangaa wanavyo rahisisha kwa majaliwa
 
kwenye familia tu kutoa taarifa ya kifo sio kirahisi hivi

huwa nashangaa wanavyo rahisisha kwa majaliwa

Hata kuna msemo wa kiswahili usemao "usipojua kutoa taarifa ya msiba, utasababisha msiba".
Hata mzee Muhogo Mchungu analijua hilo.
 
Hata kama alikuwa anajua isingekuwa sahihi kueleza ukweli kuhusu afya ya Rais maana ingeleta taharuki kubwa !! Mbona mambo kama hayo huwa yanatokea sana duniani ! Watu wanakuja kujulishwa wakati tayari wameshajiandaa kisaikolojia baada ya kutomuona kiongozi wao kwa muda mrefu. !
SAWA.

"Mambo kama hayo kuwa kawaida duniani...", lakini si angeweza kusema jambo lolote, badala ya kusema uongo uliomwondolea heshima kama huo alioutunga hapo?

Kama alijuwa, basi hakutumia akili yake vizuri kulisemea jambo lile.
 
Kachanganyikiwa huyo mawazo yote yapo mbeya kasikia juzi sugu kafunga mtaa kule iganzo njiapanda ya igodima msameheni tu.
 
Taahi.ra wewe JPM alikuwa anapiga kazi waulize walomfanyia surgery nini kilitokea sababu hata kwenda chumba cha upasuaji ni yeye aliongoza maombi.
Mkuu hivi sumve ndiyo kule ukifika stendi ya buzuruga mwanza unapanda lile basi ambalo ukifika ni vumbi mtindo mmoja na ukilikosa basi unapanda hiece?.
 
kasimu majaliwa alikuwa sahihi sana kwenye hii kauli ni wapuuzi tu wanao shikiria na kuona hakuwa sahihi

unajua kauli yake ya raisi yuko mahututi ingeiweka nchi kwenye hali gani

unajua mchwa wangeiba kiasi gani hasa kwa kufahamu mwamba si muda anakata kamba (kama tu walipiga baada ya kifo vp wangefahamu mapema )

kwa mtazamo wangu majaliwa yuko sahihi sana

kwenye familia tu mzee akiwa mahututi taarifa haitolewi kiholela iwe raisi, yaani kiwepesi tu uambiwe hali ya raisi iko matatani

mmerogwa nyie
Siamini kuwa hata wewe mkuu una unga mkono UONGO, huyu pm alitakiwa awe amejiuzuru muda mwingi tu,huwezi kuongopea taifa, dhambi ya uongo ni kubwa mno
 
Wacha umbumbumbu, sio lazima bali ni protocol inatamka hivyo.

Spika wa Bunge, ni moja ya watu wenye kuweza kukaimu nafasi ya rais pia endapo waandamizi stahiki wa juu kabla yake wanakuwa hawapo.
We nipumbafu usiejielewa... kaa hapohapo!!!
 
Siamini kuwa hata wewe mkuu una unga mkono UONGO, huyu pm alitakiwa awe amejiuzuru muda mwingi tu,huwezi kuongopea taifa, dhambi ya uongo ni kubwa mno
uongo wake ulikuwa na faida kuliko ukweli, ukweli ungeleta taharuki ila uongo uliweka mambo sawa
 
Kila kitu kinaratibiwa kutokea Msoga sasa spika atapata wapi taarifa?
Huyo Msoga pamoja na watu kumwandama sana, asingekuwa yeye Hayati Magufuli angetukuta tuko taabani! I respect Msoga from my INNERMOST HEART!
 
Lazima aazishe zengwe Mana mama ashabariki mbeya SUGU kurejea

Alimkaribisha siku ya kuzaliwa na mama akaenda

Mama akaenda pia kwenye ile kumbukumbu ya legend mama akaenda na akina kinana kumekucha

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom