Kasimu Majaliwa alikuwa sahihi sana kwenye hii kauli ni wapuuzi tu wanao shikiria na kuona hakuwa sahihi. Unajua kauli yake ya raisi yuko mahututi ingeiweka nchi kwenye hali gani
Unajua mchwa wangeiba kiasi gani hasa kwa kufahamu mwamba si muda anakata kamba (kama tu walipiga baada ya kifo vipi wangefahamu mapema )
Kwa mtazamo wangu Majaliwa yuko sahihi sana. Kwenye familia tu mzee akiwa mahututi taarifa haitolewi kiholela iwe raisi, yaani kiwepesi tu uambiwe hali ya raisi iko matatani
Mmerogwa nyie