mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Hata kama alikuwa anajua isingekuwa sahihi kueleza ukweli kuhusu afya ya Rais maana ingeleta taharuki kubwa !! Mbona mambo kama hayo huwa yanatokea sana duniani ! Watu wanakuja kujulishwa wakati tayari wameshajiandaa kisaikolojia baada ya kutomuona kiongozi wao kwa muda mrefu. !Hivi inawezekana Kassim kweli hakujuwa Magufuli alikuwa mgonjwa tabani wakati huo?