Shida siyo Msoga shida ni elimu hizi za hapa na pale na za chupi. Dr mzima hujui hata kazi za bunge na huelewi spika ana nguvu gani? Sasa aliowafundisha wote si ni vilazaKila kitu kinaratibiwa kutokea Msoga sasa spika atapata wapi taarifa?
Shida siyo msoga shida ni wlimu hizi za hapa na pale na za chupi. Dr mzima hujui hata kazi za bunge na huelewi spika ana nguvu gani? Sasa aliowafundisha wote si nivilazaKila kitu kinaratibiwa kutokea msoga sasa spika atapata wapi taarifa?
Kasimu Majaliwa alikuwa sahihi sana kwenye hii kauli ni wapuuzi tu wanao shikiria na kuona hakuwa sahihi. Unajua kauli yake ya raisi yuko mahututi ingeiweka nchi kwenye hali ganiWaziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?
Kuna boko lingine alisemaga watu bilioni 3.9 walifatilia mazishi ya Maguftli. Nimeifufua jukwaa la habari na hoja mchanganyiko Ama kweli ukishangaa ya Musa......www.jamiiforums.com
Kipindi anapishwa kuitumikia nchi hii kama PM aliapa atakua mkweli, muwazi na muadilifu. Huoni kama ameenda kinyume na kiapo chake kwa kuudanganya umma?Kasimu Majaliwa alikuwa sahihi sana kwenye hii kauli ni wapuuzi tu wanao shikiria na kuona hakuwa sahihi. Unajua kauli yake ya raisi yuko mahututi ingeiweka nchi kwenye hali gani
Unajua mchwa wangeiba kiasi gani hasa kwa kufahamu mwamba si muda anakata kamba (kama tu walipiga baada ya kifo vipi wangefahamu mapema )
Kwa mtazamo wangu Majaliwa yuko sahihi sana. Kwenye familia tu mzee akiwa mahututi taarifa haitolewi kiholela iwe raisi, yaani kiwepesi tu uambiwe hali ya raisi iko matatani
Mmerogwa nyie
JPM alikuwa anapiga kazi waulize walomfanyia surgery nini kilitokea sababu hata kwenda chumba cha upasuaji ni yeye aliongoza maombi.Kipindi anapishwa kuitumikia nchi hii kama PM aliapa atakua mkweli, muwazi na muadilifu. Huoni kama ameenda kinyume na kiapo chake kwa kuudanganya umma?
Wacha umbumbumbu, sio lazima bali ni protocol inatamka hivyo.Mimi sijakaaga ikulu ivi mlokaa kumbe Rais kila akitaka kusafiri lazma amwambie spika??
SawaTaahi.ra wewe JPM alikuwa anapiga kazi waulize walomfanyia surgery nini kilitokea sababu hata kwenda chumba cha upasuaji ni yeye aliongoza maombi.
Maombi ya kishirikina au maombi gani hayo? Muuaji na maovu mengine yote yale then anaogoza nini??JPM alikuwa anapiga kazi waulize walomfanyia surgery nini kilitokea sababu hata kwenda chumba cha upasuaji ni yeye aliongoza maombi.
Huyu dada mimi naona kama amelaaniwa. Anapaswa amuombe msamaha Mh Rais kwa kumdhalilisha hadharani.Leo kwenye uzinduzi wa ujenzi wa uwanja wa msalato dodoma akisem eti amesikia kwenye mitandao ya kijamii kwamba rais Samia anaenda China. Hivi kweli spika mzima unasema umesikia kwenye mitandao ya kijamii kweli!!!
Spika anaongoza muhimili muhimu Sana wa kuhoji safari za rais lakini ndo huyo hajui hata safari za rais kiasi ambacho naye anasikia kwenye mitandao ya kijamii maana yake rais hatambui umuhimu wa mbunge au bunge halijitambui linasimamia nini!!
Tunasafari ndefu sana
Alikuwa anajiandaa kwenda chumba cha upasuaji huku anapiga kazi? Yeye alikuwa "mnoma" sana!JPM alikuwa anapiga kazi waulize walomfanyia surgery nini kilitokea sababu hata kwenda chumba cha upasuaji ni yeye aliongoza maombi.
Hivi inawezekana Kassim kweli hakujuwa Magufuli alikuwa mgonjwa tabani wakati huo?Kwani umesahau bwana Kassim alivyotuambia kuhusu hayati?
Naunga mkono 100 kwa 100 % alikuwa sahihi kabisa. !!Kasimu Majaliwa alikuwa sahihi sana kwenye hii kauli ni wapuuzi tu wanao shikiria na kuona hakuwa sahihi. Unajua kauli yake ya raisi yuko mahututi ingeiweka nchi kwenye hali gani
Unajua mchwa wangeiba kiasi gani hasa kwa kufahamu mwamba si muda anakata kamba (kama tu walipiga baada ya kifo vipi wangefahamu mapema )
Kwa mtazamo wangu Majaliwa yuko sahihi sana. Kwenye familia tu mzee akiwa mahututi taarifa haitolewi kiholela iwe raisi, yaani kiwepesi tu uambiwe hali ya raisi iko matatani
Mmerogwa nyie
Mkuu haukusikia wakati anaapa kuwa "hatatoa siri za Serikali " Hilo wewe haulifahamu?Kipindi anapishwa kuitumikia nchi hii kama PM aliapa atakua mkweli, muwazi na muadilifu. Huoni kama ameenda kinyume na kiapo chake kwa kuudanganya umma?
Kama hajaarifiwa atajuaje !! Yupo sahihi na huenda hilo ni dongo kwa wahusika ambao ama wamesahau au wamepuuzia kumjulisha. !! Yupo sahihi kabisa !!Leo kwenye uzinduzi wa ujenzi wa uwanja wa msalato dodoma akisem eti amesikia kwenye mitandao ya kijamii kwamba rais Samia anaenda China. Hivi kweli spika mzima unasema umesikia kwenye mitandao ya kijamii kweli!!!
Spika anaongoza muhimili muhimu Sana wa kuhoji safari za rais lakini ndo huyo hajui hata safari za rais kiasi ambacho naye anasikia kwenye mitandao ya kijamii maana yake rais hatambui umuhimu wa mbunge au bunge halijitambui linasimamia nini!!
Tunasafari ndefu sana