SI KWELI Spika wa Bunge la Gabon akamatwa Agosti 31, 2023 akitoroka nchi hiyo na Mabegi ya fedha

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Ni ngumu sana kuendelea na aina hii ya watawala wawazao matumbo yao tu.
 
We unashangaa izo? Nazile alizokuta fundi bomba kwenye simtaki la lita 100000 kwamzee mamvi izi si robo tu
 
Sisi waafrica hii ni aibu kubwa, hii inatupelekea kudharauliwa mno na watu weupe, mengine tunajitakia wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…