Spika wa bunge la Iran Mohammad Bagher Ghalibaf aangamizwa!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Ameangamizwa leo hii Mohammad Bagher Ghalibaf, Spika wa Bunge la Iran
Watetezi wa Magaidi Adiosamigo mdogoee na Mmbeya wa JF zitto junior njoni mkanushe hapa tuone!!!!
 
Attachments

  • IMG_20260329_165435_324.jpg
    IMG_20260329_165435_324.jpg
    106.3 KB · Views: 27
Tit for tat, je tutegemee Iran nao kumuua spika wa Israel?
Acha ujinga wewe toka vita hii ianze umesikia kiongozi yeyote wa Israel kauliwa na magaidi?

Wa kuweza kuua viongozi wa Israel badoooo kabisa hajazaliwa!!!

Kwa ulinzi walionao hata balozi wa nyumba kumi wa Israel magaidi hawawezi kumuua!!!
 
Ameangamizwa leo hii Mohammad Bagher Ghalibaf, Spika wa Bunge la Iran
Watetezi wa Magaidi Adiosamigo mdogoee na Mmbeya wa JF zitto junior njoni mkanushe hapa tuone!!!!
Mbona hujaweka source? Hii taarifa haipo verified popote. Ungekua unaweka taarifa na source ili kuweka authenticity ya taarifa otherwise JF itageuka Facebook.

Ameangamizwa leo hii Mohammad Bagher Ghalibaf, Spika wa Bunge la Iran
Watetezi wa Magaidi Adiosamigo mdogoee na Mmbeya wa JF zitto junior njoni mkanushe hapa tuone!!!!
Sawa dalili yako ipo wapi na kwani akifa ndio mmeshinda vita siatakuja mwingine.

Kwani Israel hakuna walio uliwa makamanda au Israel watu wake ni vyuma hawafi ikiwa vyuma vinayayushwa iwe wao.
 
Mpaka leo hii hakuna kiongozi yeyote wa Israel aliyeuliwa na magaidi ya Iran!!

Mpaka leo hii kuna viongozi wanne wa Israel wameuliwa kwa Hisia za Wafuga midevu na majini akiwe waziri mkuu Benjamin Netanyahu!! Ninyi ni mabingwa wa kuua kwa maneno!!!
 
Ubaya Israel na USA wanafuta habari nyingi na video ili kuficha ukweli.

Lakini kuna details zingine unazipata pata bado kwa njia zingine

Based on reports emerging in March 2026 amid the escalated Iran-Israel conflict, Russian intelligence sources have circulated reports detailing significant Israeli casualties, including top military officials, following retaliatory strikes
  • Targeted Casualties: Reports claim that Iranian attacks resulted in the deaths of 6 senior Israel Defense Forces (IDF) generals, nearly 200 air force officers, over 460 soldiers, and more than 30 Mossad intelligence agents.
  • Strategic Impact: The claims indicate that Iranian strikes caused major operational disruptions, including a temporary loss of operational control of the Dimona nuclear facility during the initial phase of retaliatory attacks.
  • Intelligence Support: Some narratives suggest that Iran's ability to strike such high-value targets indicates potential external intelligence assistance during the conflict.
 
Tatizo mkifa nyinyi mnanyuti kimyaaa na kisheria chenu ya kukana Ukweli kisheria 🤠🤠🤠🤠🤠

Narudia. Wamepitisha Sheria ya Kuna Ukweli kusema uwongo kukana Vifo kukana idadi ya Vifo kukana uko kupo kisheria✍️😜😜😜

na kusema kweli unaweza kufungwa
sababu uwongo umetungiwa Sheria.. 🤠🤠

Yani family yako wameuwawa sita kwenye Jengo!!

ww umepona lkn ukiojiwa na media Sheria inakutaka kusema Uwongo kuwa hakuna mtu amekufa!!!

Na ukijichanganya ksema nimepoteza ndugu zangu watano!!

Sheria inakufunga umekwenda kinyume na Sheria 🤠🤠

Sasa Walokole wanaoji Vifo vya Viongozi upande wa Israel kuonyesha kwa Akili zao kuwa hawafi 😜😜

Sasa wewe utajuaje. Kama wanakufa au hapana kwa iyo Sheria imepitishwa kwao..
 
KAMA hawafi jiulize wamepitisha Sheria ya nini!!!🤠🤠🤠🤠
 
Hivi makobaz huwa hamna akili kabisa? Hata kidogo? Yaani Israel wafute videos za Irani how? Kwanini na Iran basi isifute za Israel? Haya mambo tukiambiwa misikitini.
 
Sawa dalili yako ipo wapi na kwani akifa ndio mmeshinda vita siatakuja mwingine.

Kwani Israel hakuna walio uliwa makamanda au Israel watu wake ni vyuma hawafi ikiwa vyuma vinayayushwa iwe wao.
Mpaka leo hii hakuna kiongozi yeyote wa Israel aliyeuliwa na magaidi ya Iran!!

Mpaka leo hii kuna viongozi wanne wa Israel wameuliwa kwa Hisia za Wafuga midevu na majini akiwe waziri mkuu Benjamin Netanyahu!! Ninyi ni mabingwa wa kuua kwa maneno!!!
Ubaya Israel na USA wanafuta habari nyingi na video ili kuficha ukweli.

Lakini kuna details zingine unazipata pata bado kwa njia zingine

Based on reports emerging in March 2026 amid the escalated Iran-Israel conflict, Russian intelligence sources have circulated reports detailing significant Israeli casualties, including top military officials, following retaliatory strikes
  • Targeted Casualties: Reports claim that Iranian attacks resulted in the deaths of 6 senior Israel Defense Forces (IDF) generals, nearly 200 air force officers, over 460 soldiers, and more than 30 Mossad intelligence agents.
  • Strategic Impact: The claims indicate that Iranian strikes caused major operational disruptions, including a temporary loss of operational control of the Dimona nuclear facility during the initial phase of retaliatory attacks.
  • Intelligence Support: Some narratives suggest that Iran's ability to strike such high-value targets indicates potential external intelligence assistance during the conflict.
Acheni visingizio!!
Hivi kwa nini waislamu wengi ni waongo waongo sana?

Au ndiyo maana ya ninyi uongo mnauita TAQIYYAH?
 
Tatizo mkifa nyinyi mnanyuti kimyaaa na kisheria chenu ya kukana Ukweli kisheria 🤠🤠🤠🤠🤠

Narudia. Wamepitisha Sheria ya Kuna Ukweli kusema uwongo kukana Vifo kukana idadi ya Vifo kukana uko kupo kisheria✍️😜😜😜

na kusema kweli unaweza kufungwa
sababu uwongo umetungiwa Sheria.. 🤠🤠

Yani family yako wameuwawa sita kwenye Jengo!!

ww umepona lkn ukiojiwa na media Sheria inakutaka kusema Uwongo kuwa hakuna mtu amekufa!!!

Na ukijichanganya ksema nimepoteza ndugu zangu watano!!

Sheria inakufunga umekwenda kinyume na Sheria 🤠🤠

Sasa Walokole wanaoji Vifo vya Viongozi upande wa Israel kuonyesha kwa Akili zao kuwa hawafi 😜😜

Sasa wewe utajuaje. Kama wanakufa au hapana kwa iyo Sheria imepitishwa kwao..
Huns akili mjinga wewe tutajie kiongozi yeyote wa Israel aliyekufa kwa mashambulizi ya Magaidi wa Iran nami nitakutajia viongozi wa Iran walioangamizwa na majeshi hodari ya Israel!!
 
Back
Top Bottom