UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 18,243
- 9,657
Ukishajua nani alianzisha halafu ili iweje apewe tuzo au adhabu? Watu wanataka kusuluhisha vita iishe ili kueupusha madhara zaidi yanayoendelea kutokea kutokana na hiyo vita, tukianza kuulizana nani kaanzisha kila mmoja atasema lake na haitokuwa na msaada wowote.Ni ujinga kutaka kumaliza vita bila kujua nani alianzisha!!!