Spika wa bunge la Iran Mohammad Bagher Ghalibaf aangamizwa!!

KAMA hawafi jiulize wamepitisha Sheria ya nini!!!🀠🀠🀠🀠
Tukuulize wewe kwa nini unaumia sana Iran wanaposhindwa kuwaua viongozi wa Israel?
 
Sasa kama lengo ni kuuwa viongozi wa Iran tu kulikuwa na haja gani ya kuanzisha na vita na matokeo yake inasababisha maafa makubwa?
 
Sasa kama lengo ni kuuwa viongozi wa Iran tu kulikuwa na haja gani ya kuanzisha na vita na matokeo yake inasababisha maafa makubwa?
Swali la kijinga kabisa hilo!! Kamuulize Ayatollah Majitaka Khamenei atakujibu!!
 
ΔΆwenye hii vita wewe unaumia sana sehemu gani ya mwili wako?
Naumia sehemu ya kichwa kwa kutafakari sana kwamba kuna binaadamu wanashabikia vita kama mchezo tu bila kujali madhara ya kibinaadamu, kiuchumi na nishati yanayoendelea kutokana na hii vita.
 

Ukiweka source wewe inatosha!!!

Kwenye kifo cha Netanyahu ulituwekea source? Au tutegemee siku ya mazishi yake utatuwekea source?
 
Naumia sehemu ya kichwa kwa kutafakari sana kwamba kuna binaadamu wanashabikia vita kama mchezo tu bila kujali madhara ya kibinaadamu, kiuchumi na nishati yanayoendelea kutokana na hii vita.
Nakushangaa wewe unayeumiza kichwa chako kwa wanaoshabikia vita na huumii popote kwa walioanzisha vita hivyo!!.

Huoni kuwa huwatendei haki mashabiki?
 
US na Israel wanaficha taarifa ila wewe fukara uko Namtumbo umezipata taarifa za ndani kabisa za vifo vya wanajeshi 600
 
Futeni na za kwenu ili iwe ngoma Droo!!!
 
"Narratives and claims" haiwezi kuwa authentic habari hata siku Moja! Should be "reports assert that" or "it has been confirmed that" and so and so! Claims and narration hata wewe unaweza kuandika ukiwa unakunya chooni and call it news!
 
Tatizo je Israel watasema kiongozi wao kafa. Wakati wamepitisha Sheria yao ya kukana Ukweli wewe ulikuwa wapi 😜😜😜😜
Hata wasiposema, time will tell
 
Nakushangaa wewe unayeumiza kichwa chako kwa wanaoshabikia vita na huumii popote kwa walioanzisha vita hivyo!!.

Huoni kuwa huwatendei haki mashabiki?
Ndio kumekuwa na jitihada za kutafuta namna ya kumaliza vita bila kujali nani alianzisha na yupi anamaliza, inafanyika hivyo kwa sababu vita si jambo zuri na lina madhara makubwa kuliko hizo faida kwa watu wachache.

Kuanzisha vita zisizo na ulazima na kushabikia vita ni ishara ya ujinga na kutostaarabika.
 
"Narratives and claims" haiwezi kuwa authentic habari hata siku Moja! Should be "reports assert that" or "it has been confirmed that" and so and so! Claims and narration hata wewe unaweza kuandika ukiwa unakunya chooni and call it news!
Kenge for your information news from anonymous sources can sometimes be more accurate or perfect than named sources
 
Ukiweka source wewe inatosha!!!

Kwenye kifo cha Netanyahu ulituwekea source? Au tutegemee siku ya mazishi yake utatuwekea source?
Acha utoto sijawahi zusha kifo cha Netanyahu. Mie sina tabia zako za
 
Ni ujinga kutaka kumaliza vita bila kujua nani alianzisha!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…