Ukishajua nani alianzisha halafu ili iweje apewe tuzo au adhabu? Watu wanataka kusuluhisha vita iishe ili kueupusha madhara zaidi yanayoendelea kutokea kutokana na hiyo vita, tukianza kuulizana nani kaanzisha kila mmoja atasema lake na haitokuwa na msaada wowote.Ni ujinga kutaka kumaliza vita bila kujua nani alianzisha!!!
Ujinga huo labda unafanya wewe kwako wewe na familia yako tu.Ukishajua nani alianzisha halafu ili iweje apewe tuzo au adhabu? Watu wanataka kusuluhisha vita iishe ili kueupusha madhara zaidi yanayoendelea kutokea kutokana na hiyo vita, tukianza kuulizana nani kaanzisha kila mmoja atasema lake na haitokuwa na msaada wowote.
Punguza utoto dogo post zangu zote ziko public unaweza ingia kwa profile ukaziona zote HAKUNA uzushi nimewahi andika JF. Huwa nikiandika kitu basi kipo verified na media zinazoheshimika sio kuchukua screenshot ya twitter ndio kuifanya habari.Basi tuambie ulizusha vifo vya akina nani viongozi wa Israel?
Najua wewe hawawezi kuweka Avatar yako hadharani maana unaheshimika sana!!
Wewe ndiye Gwiji wa upotoshaji humu!!Punguza utoto dogo post zangu zote ziko public unaweza ingia kwa profile ukaziona zote HAKUNA uzushi nimewahi andika JF. Huwa nikiandika kitu basi kipo verified na media zinazoheshimika sio kuchukua screenshot ya twitter ndio kuifanya habari.
Nadhani kuna haja ya JF kufanya training kwa wanachama namna ya kutafuta taarifa mitandaoni, kuhakiki, referencing, na uwasilishaji. Hii itaongeza ubora wa jukwaa kama ilivyokua 2007-2014 kabla ya kuvamiwa na wahuni kama wewe.
Hiyo vita aliyeanzisha kila mtu kamuona maana haikuanzishwa sirini, sasa kuna hoja gani ya msingi kuanza kuulizana nani kaanzisha vita? Ni upumbavu tu kushabikia vita hakuna lolote la maana kutetea ushabiki wa vita.Ujinga huo labda unafanya wewe kwako wewe na familia yako tu.
Ili kufanya Maridhiano lazima ijulikane nani kachokoza na nani kachokozwa baadaye sasa ndiyo unawekwa muafaka!!.
Hayo ya kupewa Tuzo au adhabu ni ujinga wako tu unakusumbua!!!
Hi I wewe ungenyamaza tu bila kubwabwaja ujinga wako huu nani angekujua wewe ni poyoyo kiasi hiko?
Kama hujui kitu bora kunyamaza kuficha aibu yako!! Au uulize ili upate kujua zaidi!!
Kwa akili yako wewe nani alianzisha? Labda tuanzie hapo!!Hiyo vita aliyeanzisha kila mtu kamuona maana haikuanzishwa sirini, sasa kuna hoja gani ya msingi kuanza kuulizana nani kaanzisha vita? Ni upumbavu tu kushabikia vita hakuna lolote la maana kutetea ushabiki wa vita.
Wanaishi kwenye mahandakiTit for tat, je tutegemee Iran nao kumuua spika wa Israel?