Uchaguzi 2020 Spika wa Bunge lililopita, Job Ndugai amfananisha Tundu Lissu(CHADEMA) na mnyama wa porini

Ninyi ccm mko wachache Sana. Usitusemee wananchi. Tuna hasira Sana na huyu john kwa ukatili wake na ubinafsi wake. Kitendo cha kujenga international airport Chato, anastahili kunyongwa.

Ila anatakiwa awe hai kwa kujenga New Airport Singida? double speak.
 
Tatizo la Spika Ndugai ni kutaka kuchuma dhambi ambazo sio zake.

Spika Ndugai hakuwa na mamlaka ya kuondoa walinzi wa area D ili kupisha magaidi waliomshambulia TL.

Kuzungumza kana kwamba anaunga mkono unyama aliotendewa TL ni kujichumia madhambi yasiyokuwa yake.
 

Hajiulizi kwa nini wenzake hawamzungumzii tena Lissu. Wanaepuka kuwa mashahidi siku zijazo na wamesoma alama za nyakati.

Hata mganga wao inaonyesha kawaamuru wasimtaje Lissu kwa jina. Wameaminishwa wanapambana na mzimu.

 
Kwa hili la kuondoa walinzi, na kisha kuvunja kamati ya Bunge iliyotakiwa kuchunguza na kuficha ukweli ni ''Accomplice'' katika jaribio la kutoa roho ya TL.

Ninasikitika sana huyu aliyetumia mamilioni ya kodi zetu kujitibu maradhi tusiyojua , bila haya aibu au huruma ni sehemu ya wasiojulikana. Tumuombe mwenyezi mungu amrudishe India na kuendelea na safari huko huko!
 
Wataongea lugha zote!

Kuna wanyama wabaya kama wale walioagiza Lissu apigwe risasi na wale waliomvua ubunge?
Mkuu Salary Slip, wewe na wenzio mna safari ndefu ya kujitambua mlikotoka, mlipo na mnakokwenda, kwa maana mmejaza vichwani Vioja badala ya hoja.

Waungwana wana lugha ya kumkosoa mtu, au siyo.

Mwimbaji kama huyu anajua WaTz walikotoka, walipo kwa sasa na wanakokwenda. Wewe je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…