Mkwaruu Kombo-Tapa
Member
- Aug 1, 2020
- 62
- 60
Kumbe Lusu kipindi hiki agusikii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugai hajakosea, lissu analugha chafu sana,
Harudi wakati mwenzio tayari ni mbunge anaesubiri kuapishwa?
Baada ya October atafunga mdomo wake mchafu
Lissu amesababisha wanaCCM wanatokwa maneno kwa jazba kali mnoo na kwa kupanicKumbe Lusu kipindi hiki agusikii.
Ninyi ccm mko wachache Sana. Usitusemee wananchi. Tuna hasira Sana na huyu john kwa ukatili wake na ubinafsi wake. Kitendo cha kujenga international airport Chato, anastahili kunyongwa.
Kweli Lissu hatareee! Yaani leo CCM wanamtegemea ndugai?😂😂😂😂Haya ni maneno aliyotamka leo ndugu Job Ndugai
View attachment 1567985
Muda hausimami Mkuu
Ndugai hana busara hata chembe. Kwa habari ya Lissu kama ningekuwa mimi Ndugai ningefumba kinywa milele.Katika watu waliotamani Lissu asingekua hai leo hii basi huyu jamaa ni mmoja wao
Haya ni maneno aliyotamka leo ndugu Job Ndugai
View attachment 1567985
Tatizo la Spika Ndugai ni kutaka kuchuma dhambi ambazo sio zake.
Spika Ndugai hakuwa na mamlaka ya kuondoa walinzi wa area D ili kupisha magaidi waliomshambulia TL.
Kuzungumza kana kwamba anaunga mkono unyama aliotendewa TL ni kujichumia madhambi yasiyokuwa yake.
Kuwa mwanasiasa kunahitaji ngozi ngumu by Samwel Sitta rip
Tuwe na staha angalau kidogo
Ndugai yuko sawa ,Lissu ni kibaka tu
Kwa hili la kuondoa walinzi, na kisha kuvunja kamati ya Bunge iliyotakiwa kuchunguza na kuficha ukweli ni ''Accomplice'' katika jaribio la kutoa roho ya TL.Tatizo la Spika Ndugai ni kutaka kuchuma dhambi ambazo sio zake.
Spika Ndugai hakuwa na mamlaka ya kuondoa walinzi wa area D ili kupisha magaidi waliomshambulia TL.
Kuzungumza kana kwamba anaunga mkono unyama aliotendewa TL ni kujichumia madhambi yasiyokuwa yake.
Mkuu Salary Slip, wewe na wenzio mna safari ndefu ya kujitambua mlikotoka, mlipo na mnakokwenda, kwa maana mmejaza vichwani Vioja badala ya hoja.Wataongea lugha zote!
Kuna wanyama wabaya kama wale walioagiza Lissu apigwe risasi na wale waliomvua ubunge?