IPECACUANHA
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 3,226
- 1,919
Neno zito zaidinya matendonwaliomtendea??? He does not wonder that the man shot stands healthier than him. They failed because God intervened. Their arrogance is sending them to hell for us all to learn.Amemuheshimu sana alitakiwa aseme neno zito zaidi ya hili
Jisemee nafsi yako! Usiwaamini watu wengineAnatafuta kuguswa!
Huyu haguswi ila oktoba sisi wanachi tutamfundisha adabu ili akavisimulie vizuri vibeberu vyake
Dah!!!Niushamba wakutumia Jf au kazi ndio inakutaka ufanye ivo Kila mada upo afu hujawahi toa point...Kweli ukimaliza shule utaanza masomoNdugai hajakosea, lissu analugha chafu sana,
Heichaivi inazidi kumtafuna ubongoHaya ni maneno aliyotamka leo ndugu Job Ndugai
View attachment 1567985
Kaunganishwa gridi ya taifa?Apambane na umeme wake
Hata shetani mwenyewe anastaajabu kwa uovu huu maana hata yeye mwenyewe hajawahi kutenda hila ya jinsi hii.Kwani naye Ndugai hajioni kwamba yeye ni zaidi ya mnyama, hakujua Lissu ni binadamu mwenye damu na nyama?? Risasi 16 still mnamnyimba pesa ya matibabu zaidi kamvua na ubunge kabisa. Hana haya kabisa huyu jamaa.
Sema mimi..sisi na naniAnatafuta kuguswa!
Huyu haguswi ila oktoba sisi wanachi tutamfundisha adabu ili akavisimulie vizuri vibeberu vyake
Kawe Alumni wanadamu tunafanana na wanyama katika kufa mengine tuko tofautiNdugai hajakosea, lissu analugha chafu sana,
Pro Chadema people shock me, we highlight all the wrongs in CCM campaigns while leaving Chadema progeny being annihilated in Kilimanjaro. We need your help.Wananchi wepi hao watakaofundisha adabu hapo Oktoba?
Wa Lumumba? Mko wangapi hapo? Mtaweza?
Lissu aliwai kuwaita watu kua ni wapuuzi na wapumbavu akiwa kwenye ziara..Ndugai hajakosea, lissu analugha chafu sana,
Huyu Ndugai ambaye yupo sahihi, hapo ametumia lugha safi?Ndugai hajakosea, lissu analugha chafu sana,
Na pia Lissu huyu huyu alinunua jogoo laki, alafu akamwozesha mama yake mgonjwa, on spot!Lissu aliwai kuwaita watu kua ni wapuuzi na wapumbavu akiwa kwenye ziara..
Lissu aliwai kusema atawatandika shangazi zake na Majaliwa..una kumbuka hiyo?
Ndugai hajakosea, lissu analugha chafu sana,
Na Mungu aluvyofundi anaweza kutangulia yeye akamuacha Lissu na risasi yake mwilini.Katika watu waliotamani Lissu asingekua hai leo hii basi huyu jamaa ni mmoja wao
Ugonjwa wake si inasemekana hauna dawa wala kinga!kwani Ndugai amepona ugonjwa aliokuwa anaumwa ? Nasubiri jibu ili nicomment kwenye uzi huu