Uchaguzi 2020 Spika wa Bunge lililopita, Job Ndugai amfananisha Tundu Lissu(CHADEMA) na mnyama wa porini

Uchaguzi 2020 Spika wa Bunge lililopita, Job Ndugai amfananisha Tundu Lissu(CHADEMA) na mnyama wa porini

Amemuheshimu sana alitakiwa aseme neno zito zaidi ya hili
Neno zito zaidinya matendonwaliomtendea??? He does not wonder that the man shot stands healthier than him. They failed because God intervened. Their arrogance is sending them to hell for us all to learn.
 
Kwani naye Ndugai hajioni kwamba yeye ni zaidi ya mnyama, hakujua Lissu ni binadamu mwenye damu na nyama?? Risasi 16 still mnamnyimba pesa ya matibabu zaidi kamvua na ubunge kabisa. Hana haya kabisa huyu jamaa.
Hata shetani mwenyewe anastaajabu kwa uovu huu maana hata yeye mwenyewe hajawahi kutenda hila ya jinsi hii.
Mbele za Mungu kwa tukio hili la kumuua Lissu shetani anamwambia Mungu ona wale unaosema umewauba kwa sura na mfano wako wanachofanya ili tu wawe huru kuiba bila kukosolewa.
 
Hivi kati ya kuongea ukweli na kumpiga mtu rungu (tena la kichwani) lililotaka kuchukua maisha yake, ni upi unyama uliopitiliza?
 
Wananchi wepi hao watakaofundisha adabu hapo Oktoba?

Wa Lumumba? Mko wangapi hapo? Mtaweza?
Pro Chadema people shock me, we highlight all the wrongs in CCM campaigns while leaving Chadema progeny being annihilated in Kilimanjaro. We need your help.
 
Ndugai hajakosea, lissu analugha chafu sana,
12.png
 
Kila nkiwaza kuwa huyu ndugu ataendelea kuwa pale kitini bungeni na kuendeleza dhuluma zake nachoka kabisa. Huyu na yule alohenyweshwa na wajumbe kule Kigamboni nawaweka kapu moja . Duuuh eh tuhurumieni jamani
 
kwani Ndugai amepona ugonjwa aliokuwa anaumwa ? Nasubiri jibu ili nicomment kwenye uzi huu
Ugonjwa wake si inasemekana hauna dawa wala kinga!
Pia kufoka kwake ni dalili mbaya kwa ugonjwa huo,atahitaji uangalizi wa karibu
 
Back
Top Bottom