SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 47,706 Reaction score 69,281 Sep 13, 2020 #81 IROKOS said: Na Mungu aluvyofundi anaweza kutangulia yeye akamuacha Lissu na risasi yake mwilini. Click to expand... Ingependeza zaidi
IROKOS said: Na Mungu aluvyofundi anaweza kutangulia yeye akamuacha Lissu na risasi yake mwilini. Click to expand... Ingependeza zaidi
Kapwil JF-Expert Member Joined Apr 3, 2018 Posts 2,625 Reaction score 3,735 Sep 13, 2020 #82 Mataga mmekuja kasi baada ya kuona jahazi la mzee baba linazama
I Imeloa JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 14,885 Reaction score 18,083 Sep 13, 2020 #83 Akina Ndugai ndio wale wanaoitwa "Prime Suspects" ktk sakata la Lissu, kuua mtu kwa maslahi ya kidunia sio kitu kwa akina Ndugai.
Akina Ndugai ndio wale wanaoitwa "Prime Suspects" ktk sakata la Lissu, kuua mtu kwa maslahi ya kidunia sio kitu kwa akina Ndugai.
Alvin Slain JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 6,375 Reaction score 3,663 Sep 13, 2020 #84 Ndugai ataongoza wenzake baada ya 28 oct kwenye mahakama za haki dhidi ya dhulma za uchaguzi.
Chinga One JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 11,469 Reaction score 12,391 Sep 14, 2020 #85 IROKOS said: Na Mungu aluvyofundi anaweza kutangulia yeye akamuacha Lissu na risasi yake mwilini. Click to expand... huyo mzee dawa zikikataa tu mwilini anakata moto siku si nyingi
IROKOS said: Na Mungu aluvyofundi anaweza kutangulia yeye akamuacha Lissu na risasi yake mwilini. Click to expand... huyo mzee dawa zikikataa tu mwilini anakata moto siku si nyingi
UncleBen JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 9,673 Reaction score 12,265 Sep 14, 2020 #86 Tukubali Lisu ni "Mnyama pori " Yeye Ndugai atakuwa nini? Mungu nifundishe kunyamaza
B babylata JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 3,609 Reaction score 2,402 Sep 14, 2020 #87 Posti 30 Bashite kajibu 26 Ndungai na Magufuri wameendesha nchi iliyojaa damu za watu wenye haki