Uchaguzi 2020 Spika wa Bunge lililopita, Job Ndugai amfananisha Tundu Lissu(CHADEMA) na mnyama wa porini

Uchaguzi 2020 Spika wa Bunge lililopita, Job Ndugai amfananisha Tundu Lissu(CHADEMA) na mnyama wa porini

Mataga mmekuja kasi baada ya kuona jahazi la mzee baba linazama
 
Akina Ndugai ndio wale wanaoitwa "Prime Suspects" ktk sakata la Lissu, kuua mtu kwa maslahi ya kidunia sio kitu kwa akina Ndugai.
 
Ndugai ataongoza wenzake baada ya 28 oct kwenye mahakama za haki dhidi ya dhulma za uchaguzi.
 
Tukubali Lisu ni "Mnyama pori " Yeye Ndugai atakuwa nini? Mungu nifundishe kunyamaza
 
Posti 30 Bashite kajibu 26 Ndungai na Magufuri wameendesha nchi iliyojaa damu za watu wenye haki
 
Back
Top Bottom