Uchaguzi 2020 Spika wa Bunge lililopita, Job Ndugai amfananisha Tundu Lissu(CHADEMA) na mnyama wa porini

Uchaguzi 2020 Spika wa Bunge lililopita, Job Ndugai amfananisha Tundu Lissu(CHADEMA) na mnyama wa porini

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
11,795
Reaction score
36,704
Haya ni maneno aliyotamka leo ndugu Job Ndugai
Screenshot_20200912-204018_Twitter.jpg
 
Lissu naye ana damu eti kwa sababu ni mtihani mkubwa sana ktk maisha ya binadamu kujaribu kumstahi mtu aliyejaribu kukuua.....

Magufuli ndiye aliyeamuru Tundu Lissu auwawe kinyama kwa risasi zaidi ya 16 lakini adhma yake ikawa blocked na Mungu, wakashindwa....

Lakini badala yake wakamsababishia ndugu huyu mateso na maumivu makubwa ya yeye, ndugu na marafiki ikiwemo kumpa ukilema wa maisha...!!

Ktk mazingira haya Tundu Lissu ni mwanaume hasa na anamstahi sana Magufuli kwa kitendo chake hiki kibaya na cha kinyama kabisa...!!!
 
Anatafuta kuguswa!

Huyu haguswi ila oktoba sisi wanachi tutamfundisha adabu ili akavisimulie vizuri vibeberu vyake
Ninyi ccm mko wachache Sana. Usitusemee wananchi. Tuna hasira Sana na huyu john kwa ukatili wake na ubinafsi wake. Kitendo cha kujenga international airport Chato, anastahili kunyongwa.
 
Kwani naye Ndugai hajioni kwamba yeye ni zaidi ya mnyama, hakujua Lissu ni binadamu mwenye damu na nyama?? Risasi 16 still mnamnyimba pesa ya matibabu zaidi kamvua na ubunge kabisa. Hana haya kabisa huyu jamaa.
 
Mzee Magaya anazungumziaje haya maneno ya Ndugai?
Hahahaaaa! Mzee Mgaya anasema Tundu Lisu hamzidi Trump kwa ukali wa maneno sema tu maneno ya Trump ni ya kizungu.

Mzee Mgaya anamuunga mkono Dr Kigwangalla kwamba Mo Dewji aweke mezani mzigo wa 20b!
 
Back
Top Bottom