Mtemi Mbojo
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 891
- 1,569
Hata IGP anashangaa!Bila shaka kila mtu anashangaa wakiwamo wakuu wao
Maadui wakubwa zaidi kwa usalama na demokrasia katika nchi hii ni:-Sheria mbovu ya TISS ameipitisha mwenyewe leo anashangaa
Hata IGP anashangaa!
"linahitaji marekebisho ya sheria".Akiongea na Wasafi FM leo Spika wa bunge Mh. Tulia Ackson amesema anashangaa kwanini hadi leo hii polisi bado inamshikilia Kombo Mbwana kada wa CHADEMA.
Mbwana alipotea tangu June 15 baada ya kutekwa nyumbani kwake na watu wasiojulikana huko Tanga, awali polisi ilikana kuwa naye baadae ikakiri kumshikilia.
Tulia amesema "siyo sahihi kwa polisi kumshikilia mtu bila kutoa taarifa kwa jamii kwa sababu inaweza kuzua taharuki".
Alikuwa akijibu swali aliloulizwa na Waandishi wa habari kina Kitenge, 'ni kwa nini Polisi inakamata watu na kuwaficha bila kutoa taarifa hii inapelekea jamii kuhisi kuwa polisi inahusika na utekaji'.
Tulia aliongeza kusema, hili ni changamoto na linahitaji marekebisho ya sheria.
Tunaweza kumpigia simu 'Jaji Mkulu' yakaisha."linahitaji marekebisho ya sheria".
Atakaporudi bungeni na kutulia kwenye kiti chake cha enzi atasema huu si wakati wa kurekebisha sheria kwani tuna jukumu la kuandaa uchaguzi mkuu.
Ndyo, mahakama zetu ni sikivu na zinawapenda èTunaweza kumpigia simu 'Jaji Mkulu' yakaisha.
Tanzania ni shule ya msingi iliyoboreshwa.Tunaweza kumpigia simu 'Jaji Mkulu' yakaisha.