dah! Diamond anaongea kizungu safi wajameni.,, loh! Anastahli pongezi.

I'm watching the show my nicca! This guy is so talented, nilitaka kutoka ila imebidi nisubiri amalize. Nafikiri kama umemsikiliza na kumuangalia kwa makini utakuwa umegundua kitu kikubwa alichonacho. nilichopenda zaidi ame-struggle mpaka kajua kingereza maana alijua anakiitaji sana kwenye kazi yake, na confidence anayo kubwa sana.
Kwakweli ukweli usemwe anaonge kingereza vizuri tuu! Nilicho gundua anapenda na anajiamini sana!Anasema atamuoa Wema soon!
Salute kwake!
Sijaangalia kipindi....
Sijui kishawekwa online maana mara ya kwanza ilikua trailer tu
kijiba cha roho,kanywe vineger weweWenzenu ulaya wanakilipia midola kibao ili wajifunze kiswahili nyie leo mnaona ufahari kujisifia kizungu hebu nendeni nje muone mzungu anavyopigana kuongea kiswahili ukimsemesha anafurahi hasa yaani nchi bado tunamalimbukeni hasa mara mtasema domo ndio mwanamuziki wa kwanza tz kuongea kizungu hamuishi du
Wenzenu ulaya wanakilipia midola kibao ili wajifunze kiswahili nyie leo mnaona ufahari kujisifia kizungu hebu nendeni nje muone mzungu anavyopigana kuongea kiswahili ukimsemesha anafurahi hasa yaani nchi bado tunamalimbukeni hasa mara mtasema domo ndio mwanamuziki wa kwanza tz kuongea kizungu hamuishi du
samahani lakini. Naomba nikuite mpuuzi. Dont u see the vice versa is true? Nasi tunahitaji kingereza kwa jinsi wanavyohitaji kiswahiliWenzenu ulaya wanakilipia midola kibao ili wajifunze kiswahili nyie leo mnaona ufahari kujisifia kizungu hebu nendeni nje muone mzungu anavyopigana kuongea kiswahili ukimsemesha anafurahi hasa yaani nchi bado tunamalimbukeni hasa mara mtasema domo ndio mwanamuziki wa kwanza tz kuongea kizungu hamuishi du
Wenzenu ulaya wanakilipia midola kibao ili wajifunze kiswahili nyie leo mnaona ufahari kujisifia kizungu hebu nendeni nje muone mzungu anavyopigana kuongea kiswahili ukimsemesha anafurahi hasa yaani nchi bado tunamalimbukeni hasa mara mtasema domo ndio mwanamuziki wa kwanza tz kuongea kizungu hamuishi du
ANGELA anajua kimombo wewe,ujerumani wanajifunza kiinglish kama wanavyojifunza kijerumanikwani kujua ngeli ni big deal? Mbona messi,tevez,di maria,neymar na wengine wengi bila kusahau wanasiasa wakubwa kama vile rais wa china,wakina angela merkhel hawajui ngeli lakini mambo fresh tu,anyway hongera kwa jamaa.
Wenzenu ulaya wanakilipia midola kibao ili wajifunze kiswahili nyie leo mnaona ufahari kujisifia kizungu hebu nendeni nje muone mzungu anavyopigana kuongea kiswahili ukimsemesha anafurahi hasa yaani nchi bado tunamalimbukeni hasa mara mtasema domo ndio mwanamuziki wa kwanza tz kuongea kizungu hamuishi du
Swala si ufahari labda ni kuulize kwanini secondary na universities wanafundishwa kwa kingereza?
Kingereza kina cheza nafasi kubwa linapo kuja swala la biashara hasa kimataifa! Ni kweli si kila mtu anatakiwa kujua kingereza na kujua kingereza au kutaka kukijua si utumwa bali inaweza ikawa ni hitaji hasa kama unataka uwasiliane kirahisi na watu wa mataifa!
Kwa biashara ya muziki ni muhimu kuijua lugha ya kingereza ili uweze kufanya kirahisi biashara ya muziki maana hata kama unataka kushirikiana na mtu anaye imba kingereza lazima muwasiliane nae kwa lugha hiyo hata kama kwenye wimbo wako hutoimba kingereza!
Kwa hali ya sasa kama unataka kupanuka kimataifa ni vyema kujua kingereza ili uweze kuwasiliana!
Katika hili nampongeza sana Diamond kwakweli kanifurahisha sana sana!
Ulimbukeni tu!
Lionel Messi mwenyewe hajui Kizungu.
Source: Vincent Kigosi.
Jamaa Domo yupo vizuri sana kwa ngeli nimemkubali,kiranga na Nyani watatusaidia kugundua makosa ya kiufundi zaidi ila domo yupo safi big up wema kwa kumnoa!