Sporah show Diamond akipasua yai

Sporah show Diamond akipasua yai

dah! Diamond anaongea kizungu safi wajameni.,, loh! Anastahli pongezi.

I'm watching the show my nicca! This guy is so talented, nilitaka kutoka ila imebidi nisubiri amalize. Nafikiri kama umemsikiliza na kumuangalia kwa makini utakuwa umegundua kitu kikubwa alichonacho. nilichopenda zaidi ame-struggle mpaka kajua kingereza maana alijua anakiitaji sana kwenye kazi yake, na confidence anayo kubwa sana.
 
Kwakweli ukweli usemwe anaonge kingereza vizuri tuu! Nilicho gundua anapenda na anajiamini sana!Anasema atamuoa Wema soon!

Salute kwake!
 
Wenzenu ulaya wanakilipia midola kibao ili wajifunze kiswahili nyie leo mnaona ufahari kujisifia kizungu hebu nendeni nje muone mzungu anavyopigana kuongea kiswahili ukimsemesha anafurahi hasa yaani nchi bado tunamalimbukeni hasa mara mtasema domo ndio mwanamuziki wa kwanza tz kuongea kizungu hamuishi du
 
I'm watching the show my nicca! This guy is so talented, nilitaka kutoka ila imebidi nisubiri amalize. Nafikiri kama umemsikiliza na kumuangalia kwa makini utakuwa umegundua kitu kikubwa alichonacho. nilichopenda zaidi ame-struggle mpaka kajua kingereza maana alijua anakiitaji sana kwenye kazi yake, na confidence anayo kubwa sana.

Tuipongeze management team yake kwakweli.
Na bidii zake pia.
 
Safi sana Diamond,hata wasioelewa kiswahili leo wamekuelewa,wewe ni internationaly so lazima uteme yai hata wasiojua swahili wakuelewe
 
Wenzenu ulaya wanakilipia midola kibao ili wajifunze kiswahili nyie leo mnaona ufahari kujisifia kizungu hebu nendeni nje muone mzungu anavyopigana kuongea kiswahili ukimsemesha anafurahi hasa yaani nchi bado tunamalimbukeni hasa mara mtasema domo ndio mwanamuziki wa kwanza tz kuongea kizungu hamuishi du
kijiba cha roho,kanywe vineger wewe
 
Wenzenu ulaya wanakilipia midola kibao ili wajifunze kiswahili nyie leo mnaona ufahari kujisifia kizungu hebu nendeni nje muone mzungu anavyopigana kuongea kiswahili ukimsemesha anafurahi hasa yaani nchi bado tunamalimbukeni hasa mara mtasema domo ndio mwanamuziki wa kwanza tz kuongea kizungu hamuishi du

Why all this hate mkuu? show ya Sporah inaangaliwa zaidi na watu wasiojua kiswahili mfano sky ch218 Dstv na ni sehemu ya msanii kumarket kazi yake, so kutumia kingereza inamsaidia sana . Sasa kama wazungu wanapigania kujua kiswazi sisi ndio tusitumie kingereza au umekosa point ya kumuattack??

# SKY218 # DSTV191
 
Wenzenu ulaya wanakilipia midola kibao ili wajifunze kiswahili nyie leo mnaona ufahari kujisifia kizungu hebu nendeni nje muone mzungu anavyopigana kuongea kiswahili ukimsemesha anafurahi hasa yaani nchi bado tunamalimbukeni hasa mara mtasema domo ndio mwanamuziki wa kwanza tz kuongea kizungu hamuishi du
samahani lakini. Naomba nikuite mpuuzi. Dont u see the vice versa is true? Nasi tunahitaji kingereza kwa jinsi wanavyohitaji kiswahili
 
Wenzenu ulaya wanakilipia midola kibao ili wajifunze kiswahili nyie leo mnaona ufahari kujisifia kizungu hebu nendeni nje muone mzungu anavyopigana kuongea kiswahili ukimsemesha anafurahi hasa yaani nchi bado tunamalimbukeni hasa mara mtasema domo ndio mwanamuziki wa kwanza tz kuongea kizungu hamuishi du

Swala si ufahari labda ni kuulize kwanini secondary na universities wanafundishwa kwa kingereza?

Kingereza kina cheza nafasi kubwa linapo kuja swala la biashara hasa kimataifa! Ni kweli si kila mtu anatakiwa kujua kingereza na kujua kingereza au kutaka kukijua si utumwa bali inaweza ikawa ni hitaji hasa kama unataka uwasiliane kirahisi na watu wa mataifa!

Kwa biashara ya muziki ni muhimu kuijua lugha ya kingereza ili uweze kufanya kirahisi biashara ya muziki maana hata kama unataka kushirikiana na mtu anaye imba kingereza lazima muwasiliane nae kwa lugha hiyo hata kama kwenye wimbo wako hutoimba kingereza!

Kwa hali ya sasa kama unataka kupanuka kimataifa ni vyema kujua kingereza ili uweze kuwasiliana!

Katika hili nampongeza sana Diamond kwakweli kanifurahisha sana sana!
 
kwani kujua ngeli ni big deal? Mbona messi,tevez,di maria,neymar na wengine wengi bila kusahau wanasiasa wakubwa kama vile rais wa china,wakina angela merkhel hawajui ngeli lakini mambo fresh tu,anyway hongera kwa jamaa.
ANGELA anajua kimombo wewe,ujerumani wanajifunza kiinglish kama wanavyojifunza kijerumani
 
Chibu anajiamini mpaka raha,,

Lugha sahihi sehemu sahihi, Kajitangaza zaidi wasio jua lugha ya kiswahili ilikua siku yao leo kumjua kijana wetu.

Mungu aendelee kumsimamia
In shaa Allah.
 
Wenzenu ulaya wanakilipia midola kibao ili wajifunze kiswahili nyie leo mnaona ufahari kujisifia kizungu hebu nendeni nje muone mzungu anavyopigana kuongea kiswahili ukimsemesha anafurahi hasa yaani nchi bado tunamalimbukeni hasa mara mtasema domo ndio mwanamuziki wa kwanza tz kuongea kizungu hamuishi du

haya umeshapata ulichotaka. , tumeiquote post yako. Haya nenda kakoj*oe ulal*we.
 
Swala si ufahari labda ni kuulize kwanini secondary na universities wanafundishwa kwa kingereza?

Kingereza kina cheza nafasi kubwa linapo kuja swala la biashara hasa kimataifa! Ni kweli si kila mtu anatakiwa kujua kingereza na kujua kingereza au kutaka kukijua si utumwa bali inaweza ikawa ni hitaji hasa kama unataka uwasiliane kirahisi na watu wa mataifa!

Kwa biashara ya muziki ni muhimu kuijua lugha ya kingereza ili uweze kufanya kirahisi biashara ya muziki maana hata kama unataka kushirikiana na mtu anaye imba kingereza lazima muwasiliane nae kwa lugha hiyo hata kama kwenye wimbo wako hutoimba kingereza!

Kwa hali ya sasa kama unataka kupanuka kimataifa ni vyema kujua kingereza ili uweze kuwasiliana!

Katika hili nampongeza sana Diamond kwakweli kanifurahisha sana sana!

Kafurahisha wengi Mkuu.
 
Ulimbukeni tu!

Lionel Messi mwenyewe hajui Kizungu.

Source: Vincent Kigosi.

Mkuu Sumu si kila nukuu inafaa kila sehemu na kila wakati!
Hii nukuu ukimpelekea mtoto anaye soma secondary school ata kushangaa!
Hii nukuu ukiwapelekea watu ambao wako universities hapa Tanzania watakushangaa na kukulaumu!

Hii nukuu kama Kanumba angekuwa hai lazima Ray ange kosolewa maana kwa jinsi kanumba alivyo kuwa anawaza kimataifa lazima wote mgemshangaa Ray!

Ray target yake ni local market na hafikirii kuja kufanya film na wanaigeria au watu wa mataifa .....

Hii nukuu akiiona mtu anayewaza kufanya biashara kimataifa kila Leo mfano Ay Lazima akushangae!

Hii nukuu akiiona mchina atafurahi maana yeye uchumi wake una mruhusu kuto kuwa na ulazima wa kukijua na anaweza kuweka mtafsiri!
Hata wachina nao hulazimika kujifunza kiswahili ili wawasiliane nasi na tusiwatapeli!

Mahitaji yanawafanya watu kujifunza lugha fulani na bila shaka hata we we ukienda china kukaa miezi sita lazima utataka kujua maneno Fulani ya kichina ili uwasiliane!

Huo mfano wa mesi hebu kuutafakari anawasiliana vipi? Hapo jibu lazima liwe kuwa ana mtafsiri maana anayo pesa ya kuajiri mtafsiri!

Leo hii watanzania mnasema kingereza ni ulimbukeni lakini mmesahau Mh Mlugo alisakamwa kwa kushindwa kuongea kingereza ..... ...

Watanzania hatujafikia hatua ya kukikataa kingereza maana uchumi wetu bado unatulazimisha kukijua!Hivi unge sema nini kama Diamond ange kwenda kwenye tunzo akashindwa kuwasiliana na wenzie kisa hajui kingereza? Hapa swala ni kuwasiliana si kukitumia kuimba!
 
Last edited by a moderator:
Jamaa Domo yupo vizuri sana kwa ngeli nimemkubali,kiranga na Nyani watatusaidia kugundua makosa ya kiufundi zaidi ila domo yupo safi big up wema kwa kumnoa!

kwahiyo ile murano ni malipo ya domo kwa,mwalimu wake wa twisheni ya yai?...mwl ras simba madame....hongera teacher dent anavunja yai kaona akutupie zawadi ya murano kama malipo ya twisheni....ahahaaaa
 
Hongera Diamond....
Ila mwalimu wako alikuwa Penny au Wema?
 
Swala si ufahari labda ni kuulize kwanini secondary na universities wanafundishwa kwa kingereza?

Kingereza kina cheza nafasi kubwa linapo kuja swala la biashara hasa kimataifa! Ni kweli si kila mtu anatakiwa kujua kingereza na kujua kingereza au kutaka kukijua si utumwa bali inaweza ikawa ni hitaji hasa kama unataka uwasiliane kirahisi na watu wa mataifa!

Kwa biashara ya muziki ni muhimu kuijua lugha ya kingereza ili uweze kufanya kirahisi biashara ya muziki maana hata kama unataka kushirikiana na mtu anaye imba kingereza lazima muwasiliane nae kwa lugha hiyo hata kama kwenye wimbo wako hutoimba kingereza!

Kwa hali ya sasa kama unataka kupanuka kimataifa ni vyema kujua kingereza ili uweze kuwasiliana!

Katika hili nampongeza sana Diamond kwakweli kanifurahisha sana sana!

Upo sahihi kabisa mkuu
 
Ha ha ha et hongera Domo kwa kujua kidhungu wakat Ulaya anataka kupigwa kila leo kwa kushindwa kutofautisha 10:00 ya alfajiri na usiku baada ya saa tatu.
 
Back
Top Bottom