Sportpesa mnashindwa nini kuwa na instant payment mpaka mtu uanze kuulizia salio ndo hela iingie

Sportpesa mnashindwa nini kuwa na instant payment mpaka mtu uanze kuulizia salio ndo hela iingie

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Mbona betpawa uki withdraw hela ni chap kwa haraka unapata message hapohapo hawa sportpesa wanaenda taratibu Sana kwenye malipo jirekebisheni kama mko ndani hapa.
 
Back
Top Bottom