Night Watch
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 2,092
- 2,126
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti tunaenda goodson park watabaki hapa hapa2_0 Gor Mahia wanatoboa makorongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti tunaenda goodson park watabaki hapa hapa2_0 Gor Mahia wanatoboa makorongo
Ewaaaa. [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Actually nimeshajiandaa kisaikolojia..whatever is excellent!
Ya 68 sasa.Dakika ya ngapi aisee
Hahahaaaa. Au Njombe Mji lol.Mikia siku zote mikia tu. Sijui walidhani wanacheza na majimaji!
Mikia washapigwa mbili hukoNgapi ngapi huko?
Mikia washapigwa mbili huko
Mashabiki wa Yanga majinga,badala ya kuangalia TV linatazama watazamaji
Kwa Simba hii inavyocheza hakika inadhalilisha taifa letu. Mara elfu Singida wanaonekana wapo vizuri kuliko hao the so called ‘Mabingwa’
Hahaaa. Yaani rafiki sibanduki mpaka mwisho.Shost ndo umeweka makazi kabisaaa kushuhudia mauaji ya munyamaaa
AiseeeMikia washapigwa mbili huko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu yanga hawahusiki bana hapa.
76 sasaYa 68 sasa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii mechi yao leo. Tupige story za walibaokia Kenya tu leo.
Yaani Singida na Mikia. Hahahaaaa.
Ya 80 sasa. Teh teh76 sasa
Mlitamani mfike hapa lakini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii mechi yao leo. Tupige story za walibaokia Kenya tu leo.
Yaani Singida na Mikia. Hahahaaaa.
Hahaaa. Yaani rafiki sibanduki mpaka mwisho.
Huwa wanachonga sana na kusahahu ubora wao upo Vpl na ni kwa baadhi ya mechi.