SportPesa Super Cup: Singida United yawa mshindi wa 3! Simba yapigwa 2-0 na Gor Mahia, yawa mshindi wa 2

SportPesa Super Cup: Singida United yawa mshindi wa 3! Simba yapigwa 2-0 na Gor Mahia, yawa mshindi wa 2

mechi za kimataifa ndio kipimo chetu kuwa ligi yetu inatawaliwa sana na upangaji wa matokeo. Hii ligi itabidi isimamiwe na pcb!
 
Kwa Simba hii inavyocheza hakika inadhalilisha taifa letu. Mara elfu Singida wanaonekana wapo vizuri kuliko hao the so called ‘Mabingwa’

Nakuhakikishia kama Singida wangeacha home key players 2 tu, basi wasingefika namba 3.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tagize japo tende za mombasa na nairobi simba watatuletea wakirudi kimya kimya bila kelele
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hii mechi yao leo. Tupige story za walibaokia Kenya tu leo.

Yaani Singida na Mikia. Hahahaaaa.
 
Back
Top Bottom