SportPesa Super Cup: Singida United yawa mshindi wa 3! Simba yapigwa 2-0 na Gor Mahia, yawa mshindi wa 2

mechi za kimataifa ndio kipimo chetu kuwa ligi yetu inatawaliwa sana na upangaji wa matokeo. Hii ligi itabidi isimamiwe na pcb!
 
Kwa Simba hii inavyocheza hakika inadhalilisha taifa letu. Mara elfu Singida wanaonekana wapo vizuri kuliko hao the so called ‘Mabingwa’

Nakuhakikishia kama Singida wangeacha home key players 2 tu, basi wasingefika namba 3.
 
Shost ndo umeweka makazi kabisaaa kushuhudia mauaji ya munyamaaa
Hahaaa. Yaani rafiki sibanduki mpaka mwisho.

Huwa wanachonga sana na kusahahu ubora wao upo Vpl na ni kwa baadhi ya mechi.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tagize japo tende za mombasa na nairobi simba watatuletea wakirudi kimya kimya bila kelele
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hii mechi yao leo. Tupige story za walibaokia Kenya tu leo.

Yaani Singida na Mikia. Hahahaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…