SportPesa Super Cup: Singida United yawa mshindi wa 3! Simba yapigwa 2-0 na Gor Mahia, yawa mshindi wa 2

SportPesa Super Cup: Singida United yawa mshindi wa 3! Simba yapigwa 2-0 na Gor Mahia, yawa mshindi wa 2

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tagize japo tende za mombasa na nairobi simba watatuletea wakirudi kimya kimya bila kelele
Ewaaaaaaa. Watuletee tu ili tuimalizie Ramadhani yetu vizuri. Hahahaaaa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na nguo za sikukuu wale wachezaji wana bahati mno wakafanye na shopping kwa familia zao ,kenya nguo bei chee halafu nzuriii
Ewaaaaaaa. Watuletee tu ili tuimalizie Ramadhani yetu vizuri. Hahahaaaa.
 
Back
Top Bottom