SPORTPESA SUPER CUP SPECIAL THREAD: Taarifa za Mechi zote na matokeo yote mpaka Ubingwa

Mimi nilishaondoka huko Frank,hata post zangu hapo juu zinakuonyesha. Ila nawahurumia wapenzi wa simba kwa timu yao kuendeshwa na Mangungo. Siwezi join yanga maana wote nyie ni matimu ya siasa. Hamushindi bila rupia.
 
Nalisubiri chama langu a.k.a chama ka wana hapo kesho atakavyo mjambisha mtu mpaka kujiharishia
 
*Naskia Penati alopiga Goalkipa wa Simba Daniel Agyei imeokotwa Posta*
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jaman wengine sie tunapumulia gas msiwe mnatuchekesha kias hiki
 
Mkuu ukicheka kwa raha mungu atakusamehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…