majanga itvItv iache ushamba unesheni ubao wa muda. Mnatuuz huku mitaan kama kaz inawashinda iteni backup kaa wazee wa sisi mpira azam
Wanatumia kamera tatu na laptop moja so si rahisiNinaangalia mpira ITV muda huu, ila wanachokionesha hakiridhishi kwa kweli. Hawarudii matukio muhimu na hatujui mpira ni dakika ya ngapi wala mabao ni ngapi kwa ngapi?
ITV kuweni makini jamani. Hebu wekeni stats za mpira hapo, angalau tujue ni timu gani zinacheza, ni dakika ya ngapi na magoli ni mangapi kwa mangapi, wekeni score board hapo. Tunaofuatilia tunapata Taabu.
Hahahaaa bora tutolee huko hasira za FA.Khaa..yanga bhana.this is too much,yani na kombe la sportpesa nalo liwe letu tena.
Tunashkur mpambane,mlete ubingwa mwingne jangwaniii.daima mbele!!!