SPORTPESA SUPER CUP SPECIAL THREAD: Taarifa za Mechi zote na matokeo yote mpaka Ubingwa

SPORTPESA SUPER CUP SPECIAL THREAD: Taarifa za Mechi zote na matokeo yote mpaka Ubingwa

0-0 kipindi cha pili kimeanza
ea8b008621ae6c6a1ae7209c63b1fc34.jpg
 
Itv iache ushamba unesheni ubao wa muda. Mnatuuz huku mitaan kama kaz inawashinda iteni backup kaa wazee wa sisi mpira azam
 
Azam naona kagoma kurusha mashindano ya kamari, bora ungewapa hata clouds TV ila IPP hakuna kabisa
 
Uwezo wao ni mdogo, hapo ndo wamekomea. Sijui ni vifaa duni, au watalam wa kibashite, au uwekezaji mdogo katika michezo?
 
Ninaangalia mpira ITV muda huu, ila wanachokionesha hakiridhishi kwa kweli. Hawarudii matukio muhimu na hatujui mpira ni dakika ya ngapi wala mabao ni ngapi kwa ngapi?

ITV kuweni makini jamani. Hebu wekeni stats za mpira hapo, angalau tujue ni timu gani zinacheza, ni dakika ya ngapi na magoli ni mangapi kwa mangapi, wekeni score board hapo. Tunaofuatilia tunapata Taabu.
Wanatumia kamera tatu na laptop moja so si rahisi
 
Khaa..yanga bhana.this is too much,yani na kombe la sportpesa nalo liwe letu tena.
Tunashkur mpambane,mlete ubingwa mwingne jangwaniii.daima mbele!!!
Hahahaaa bora tutolee huko hasira za FA.
Ila mkuu yale matuta kidogo roho initoke,sikuwa na imani kabisa as Yanga huwa tunafeli always tukifikia stage hiyo.
Shukraan za dhati kwake Dida [emoji122] [emoji119] [emoji120]
 
Back
Top Bottom